Текст песни
AM-Records
Ayaya
yaya
yaaa!
We
niache
niende
niende,
niende
niende
We
niache
niende
niende,
niende
niende
Mhhhh
usiniulize
kwanini
Sababu
utanizinguaaa
Ukitaka
jiunge
na
mimi
Kama
ni
pesa
we
kunywa
nitanunua
Mi
mwenzio
sikuamini
Nikajuaga
vya
kuzua
Kumbe
mjinga
ni
mimi
Ninaetunza
wenzangu
wanachukua
Aaah,
oooh
mapenzi
Mapenzi
yalinifanya
kama
mtoto
nilie
vibaya
Mie
siwezi
ya
walionikuta
niache
niseme
jina
Ooh
mapenzi,
mapenzi
yalinifanya
katoto
Nilie
vibaya
na
nina
mengi
yamenikaa
moyoni
Leo
nataka
kulewa
(lewa)
Mi
nataka
kulewa
(lewa)
Nataka
kulewa
(lewa)
Zikipanda
nimwage
radhi
Nataka
kulewa
(lewa)
Mi
nataka
kulewa
(lewa)
Nataka
kulewa
(lewa)
Zikipanda
nimwage
radhi
Ayaya
yaya
yaaa
We
niache
niende
niende,
niende
niende
Ayaya
yaya
yaaa
We
niache
niende
niende,
niende
niende
Mi
kwa
mapenzi
maskini,
'kamvisha
na
pete
kwa
kumuoa
Kukata
vilimi
limi
vya
wazushi
wanafiki
wanaompoonda
Kumbe
mwenzangu
na
mimii,
ni
bure
tu
najusumbua
Si
tupo
kama
ishirini,
mabuzi
ving'asti
wengine
anawaonga
Ooh
mapenzi
yalinifanya
kama
mtoto
nilie
vibayaa
Mie
siwezi
walonikuta
waniache
niseme
jina
Ooh
mapenzi
yalinifanya
kama
mtoto
nilie
vibaya
Na
nina
mengi,
yamenijaa
moyoni
Ehhh
leo
nataka
kulewa
(lewa)
Mi
nataka
kulewa
(lewa)
Nataka
kulewa
(lewa)
Zikipanda
nimwage
ya
radhi
(tilalila)
Nataka
kulewa
(lewa,
tilalila)
Mi
nataka
kulewa
(lewa)
Nataka
kulewa
(lewa)
Zikipanda
nimwage
radhi
Ayaya
yaya
yaa
We
niache
niende
niende
(kulewa
kulewa)
Niende
niende
(kulewa
kulewa)
Kulewa
kulewa
Weniache
niende
niende
(kulewa
kulewa)
Niende
niende
(kulewa
kulewa)
Kulewa
kulewa
(iiih)
Kulewa
kulewa
(iiih)
Kulewa
kulewa
(iiih)
Kulewa
kulewa
(iiih)
Kulewa
kulewa
(iiih)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.