Текст песни Niache - Diamond Platnumz
Hhhhmm
Eti
nikuombee
mema
Na
baraka
uzidi
fanikiwa
Siwezi
kamwe
wala
(Hhhhmm)
Ni
sawa
na
kuiforce
sinema
Kuitazama
na
haijanivutia
Lazima
tu
ntalala
(Oooh)
Na
kwa
barabara
ukipita
Nenda
kulia
ukiniona
kushoto
Sitaki
hata
tuonane
(Hhhhmm)
Usije
wala
ukaniita
Donda
vilia
utanchochea
tu
moto
Nisije
nkutukane
(Hhhhmm)
Kinachoniumiza
nafsi
Kunisikitisha
kwa
watu
Kujishongondoa
Kumbe
mapenzi
Hisabati
wakati
nayazidisha
Mwenzangu
Nje
unayatoa
Wewe
cement
mimi
mchanga
Nkasema
Penzi
tujenge
lisije
loa
Najitia
mkandarasi
naezeka
mabati
Wewe
chini
kenchi
unabomoa
Niache...!
Niache...!
Niaache...!
Oh
Niache
Niache...!
Nipambane
na
moyo
wangu
Niache...!
(Niiaaa...!)
Niache...!
(Moyo
wangu
una
hasira)
Niaache...!
Oh
Niache
Niache...!
Oooh
Oh!
Najitahidi
nisilale
kwenye
kitanda
Huenda
ntapunguza
ndoto
zako
Hhhhmm
Mwilini
nina
machale
utadhani
mwanga
Yote
kuusahau
uwepo
wako
Hhhhmm
Laiti
kama
ningekuwa
gari
Ningekugonga
barabarani
Ama
nyuki
mtoa
asali
Nkung'ate
sura
wasiitamani
Hivi
wewe
ungo
ulivunja
mwali
Ama
ulivunja
sahani
Kuniundia
mateam
kwa
mitandao
Vijembe
vya
kazi
gani
Kinachoniumiza
nafsi
Kunisikitisha
kwa
watu
Kujishongondoa
Kumbe
mapenzi
Hisabati
wakati
nayazidisha
Mwenzangu
Nje
unayatoa
Wewe
cement
mimi
mchanga
Nkasema
Penzi
tujenge
lisije
loa
Najitia
mkandarasi
naezeka
mabati
Wewe
chini
kenchi
unabomoa
Niache...!
Oooh
Niachee
Niache...!
(Mimi
moyo
wangu
una
hasira)
Niaache...!
(Tena
ukae
mbali)
Niache...!
(Oooh
Niachee)
Niache...!
(Usiwapigie
rafiki
zangu)
Niache...!
(Usithubutu
hata
simu
yangu)
Niaache...!
(Chonde
tafadhali)
Niache...!
(Niiaaa...!)
Iyoo
Lizer
Hhhhmm
Ntakudanganya
kwa
tabasamu
Ntakudangany
kwa
kucheka
Ntakudanganya
hata
kwa
salamu
Ila
moyoni
nakuchukia
Nitakudanganya
kukufollow
Nitakudanganya
kucomment
Nitakudangaya
kulike
picha
Ila
siwezi
kukuzimia
Mxiuuuuu
![Diamond Platnumz - Niache](https://pic.Lyrhub.com/img/p/f/q/y/FcDkBwYQfP.jpg)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.