Текст песни Dua - Dulla Makabila
Aya
Rabbi
takabari
dua
Amina
(We
don
kiwango)
Ya
Rabbi
itikia
dua
Amina
Ya
Rabbi
takabari
dua
Amina
Ya
Rabbi
itikia
dua
Amina
We
kila
siku
me
naomba
dua
Irudi
tena
Yamoto
Band
Na
namuombea
Harmonize
Asimcopy
diamond
Roma
naona
hajakoma
Naomba
atekwe
tena
Harmo
rapa
azae
na
wema
Na
manfongo
abahatishe
tena
Shoro
mwamba
ache
kuimba
anitazamie
mbwa
nyumbani
Mondi
amtibie
ruge
yaishe
wawe
kama
zaman
Rayvanny
arudi
Tip
Top
maana
kule
ndo
nyumbani
Kiba
ashinde
diamond
karanga
apige
picha
Hadharani
Basi
ya
Rabbi
takabari
dua
Nakuomba
itikia
dua
Ya
Rabbi
takabari
dua
Mi
nakuomba
itikia
dua
Basi
ya
Rabbi
takabari
dua
Nakuomba
itikia
dua
Ya
Rabbi
takabari
dua
Mi
nakuomba
itikia
dua
Yani
dua
langu
dura
lipenye
Likafike
mpaka
Temeke
Mkubwa
Fella
na
kusemwa
kote
Kukuza
vipaji
asichoke
Dua
lisiishie
hapo
mpaka
kwa
Majizo
lifike
Apeleke
singeli
internationaly
Na
sisi
tuheshimike
Dua
lifike
kitandani
alipo
lala
Mwarabu
Fighter
Kila
akivuta
shuka
ahisi
Nasibu
anamwita
Dua
lipenye
mtandaoni
tupate
kustajabika
Kwenye
page
ya
Mbosso
Khani
Nione
Rukia
kachafuka
Dua
kwa
baba
chong′e
lisije
nikamkorofisha
Baba
Aaah
Dulla
kaleta
barua,
aaah
barua
ikarudishwa
Dua
kwa
Dimpozi
Omary
Afya
izidi
kujengeka
Aje
atoe
ngoma
nyingine
Baba,
Steve
Nyerere
azidi
kuuguka
Basi
ya
Rabbi
takabari
dua
Nakuomba
itikia
dua
Ya
Rabbi
takabari
dua
Mi
nakuomba
itikia
dua
Basi
ya
Rabbi
takabari
dua
Nakuomba
itikia
dua
Ya
Rabbi
takabari
dua
Mi
nakuomba
itikia
dua
Nani
mwenye
kamera
anipige
mafoto
Nauliza
nani
mwenye
kamera
achukue
Video
Wanangu
nani
mwenye
kamera
anipige
Mafoto
Wemakizube
nani
mwenye
kamera
achukue
Video
Waitee,
nauliza
nani
nani
(humo
humo)
Nani
We
mtupisi
nani
nani
(nani)
We
siso
nani
nani,
nani
nani
Kidete
nani
nani,
nani
nani
We
jito
la
mtunga
meno
ya
duka
Jito
la
mtunga
meno
ya
duka
Analiona
jito
la
mtunga
meno
ya
duka
Mamamama
we
jito
la
mtunga
meno
ya
Duka
Wakiinama
wanatamani
maji
ya
kisima
Wakiinuka
wanatetemeka
mwili
mzima
Wakiinama
wanatamani
maji
ya
kisima
Wakiinuka
wanatetemeka
mwili
mzima
We
tetema
mwili
mzima
(tetema)
mwili
Mzima
We
tetema
mwili
mzima
(tetema)
mwili
Mzima
Jiachie
mwili
mzima
(tetema)
mwili
mzima
We
jirushe
mwili
mzima
(tetema)
mwili
Mzima
Basi
twende
niwaambie,
niwaeleze
Wanangu
niwaambie,
niwaeleze
Haya
maji
ya
kunywa,
tunauziwa
Ya
kwa
dumu
tunapewa
bure
Mamamamama
wika
Haya
maji
ya
kunywa,
tunauziwa
Ya
kwa
dumu
tunapewa
bure
Haya
kila
mtu
acheze
kivyake
Acheze
kivyake
Kila
mtu
aruke
kivyake
Aruke
kivyake
Basi
piga
goma,
weka
goma
We
nasiso
piga
goma,
weka
goma
We
mwanangu
piga
goma,
weka
goma
Wanangu
wa
Magomeni
Kagera
Wananiitaga
King
Makabila
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.