Dully Sykes - Utamu текст песни

Текст песни Utamu - Dully Sykes

Basi ndo ule utamu utamu, ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nizamu, haramu, nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende
Basi ndo ule utamu utamu, ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nizamu, haramu, nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Uzuri wako kama wema pelekati
Nimekuteka hata jiga hakupati
Hata wengine wakisema umeshapenda nami nakupenda kwa dhati
Na sura yako tam kama chokleti
Ijapokuwa beb umekosa kibeti
Darling nipe tena kwa kitanda star pale kwenye bustati
Lemme say:
Mummy leo
Ninachoomba onyesha upeo
Unipe mambo yako yenye vileo
Unipe maraha, maladha mavitu za dunia hii
Mummy leo
Ninachoomba onyesha upeo
Unipe mambo yako yenye vileo
Unipe maraha, maladha mavitu za dunia hii
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Sitaki mwingine, kipenzi ni wewe
Ni wewe, ni we, sitaki mwingine
Pistol yangu naikoki
Unaanza kuishika shikaa
Na machozi yakububujikaa
Mwishoni nayo yenyewe inakudedishaa
Naikoki mama
Unaanza kuishika shikaa
Na machozi yakububujikaa
Mwishoni nayo yenyewe inakudedishaa
Mummy leo
Ninachoomba onyesha upeo
Unipe mambo yako yenye vileo
Unipe maraha, maladha mavitu za dunia hii
Mummy leo
Ninachoomba onyesha upeo
Unipe mambo yako yenye vileo
Unipe maraha, maladha mavitu za dunia hii
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu
Basi ndo ule utamu utamu, ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nizamu, haramu, nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende
Basi ndo ule utamu utamu, ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nizamu, haramu, nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar
Ningeweza uje ishi nami huku Dar

Авторы: Naseeb Abdul Juma, Ommy Dimpoz, Dully Sykes

Dully Sykes - Biberon
Альбом Biberon
дата релиза
09-01-2015

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.