ETHIC - Staga Niki Medi текст песни

Текст песни Staga Niki Medi - ETHIC



Uza mkoba chaova
Uza nka una cha ova
Deni ya ova kwa ova
Ambapo anapendaga madeni
Kankukata nakataga maheny(henny)
Staga nastaga nikimedi(medi)
Staga nastaga nikimedi(medi)
Mi hujali ganje na ladyies
Mi hujali money so nataka many
Staga nastaga nikimedi(medi)
Staga nastaga nikimedi(medi)
Ati staga nastaga nikimedi
Jama jo umededi ama tu umesleki
Na umenoki wendy ama pia na becky(sawa) ngoja nianze kukata keki
(Now) we ka kambambe ju jo huna class
Mi nko na money nipate kwa bar
Cheki ni funny umevaa kama fyat
Fyatu mathare bythe way ni fun
Hii wikendi naskia kukata kakeki
Naskia kukata bado henny
Nimepedi round moja aniseti
Piri we mrazi pigwa tin ting
Ye ni diva na ankatika na chupi
Ringi keroma haweki chumvi
Zikishika mi nawashanga kihudi
Ringi keroma haweki chumvi



Авторы: Peter Njau


ETHIC - Staga Niki Medi - Single
Альбом Staga Niki Medi - Single
дата релиза
26-05-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.