Elani - Maua - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Elani - Maua




Maua
Flower
Mbona naona wataka kwenda
Why do I see that you want to go
Japo nakupenda na moyo wangu
Though I love you with all my heart
Na tena ni wapy nitaenda
And again, it is painful, I will go
Japo nakunda na roho yangu
Thoug I love you with all my soul
Una macho ya avril
You have Avril's eyes
Upole wa Lulu Hassan
Lulu Hassan's kindness
Ukipita wakuita malaika
When you pass by, they call you an angel
Sauti ya Amina
Amina's voice
Na rangi ya Kanze Dena
And Kanze Dena's complexion
Mala, mala ukipita wakuita
Pretty-pretty when you pass by they call you
Malaika
Angel
Mala, mala ukipita wakuita
Pretty-pretty when you pass by they call you
Malaika
Angel
Aaah, aaah, aaaah
Aaah, aaah, aaaah
Aaah, aaaah, aaaaah
Aaah, aaaah, aaaaah
Mbona uliniambia wataka kwenda
Why did you tell me you want to go
Japo nakupenda na moyo wangu
Though I love you with all my heart
Na tena ni wapy nitaenda
And again, it is painful, I will go
Japo nakupenda na roho yangu
Though I love you with all my soul
Macho yako ya avril
Your eyes are like Avril's
Upole wa Lulu Hassan
Lulu Hassan's kindness
Ukipita wakuita malaika
When you pass by, they call you an angel
Sauti ya Amina
Amina's voice
Na rangi ya Kanze ndena
And Kanze ndena's complexion
Ukipita wakuita malaika
When you pass by they call you an angel
Mala, mala ukipita wakuita
Pretty-pretty when you pass by they call you
Malaika
Angel
Mala, mala ukipita wakuita
Pretty-pretty when you pass by they call you
Malaika
Angel
Aah, Aaah,aaaah
Aah, Aaah,aaaah
Aah, Aaah,aaaah
Aah, Aaah,aaaah
Unavyoenda safiri salama mwanangu
Have a safe journey as you go
Unavyoenda msalimu mola mwanangu
Say hello to God for me as you go
Unavyoenda usisasahau mwanangu ukifika watakuita malaika
As you go, don’t forget, once you arrive, they will call you an angel





Авторы: Elani

Elani - Colours of Love
Альбом
Colours of Love
дата релиза
22-10-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.