Текст песни Nimejaribu - Elani
Mmmmmh
Nimejaribu,
nilielie
nikusahau
wewe
Eh
nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha
mi
na
aibu,wengine
wanicheke
juu
uko
na
mwingine
Eh
nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau
wewee)×4
Pengine
nilikawia
sana,kukupeleka
likizo
ikaleta
matatizo
Ulitamani
sana,Maasai
Mara
Au
pengine
nilichelewa
sana,
Usiku
wa
manane
nilifika
nimetoka
mi
Kuimba
juu
niko
biashara,silipwi
mishahara
Na
ningependa
nikuchukie
mami
lakini
mi
si
kama
wewe
Ata
kisasi
nikulipize,lakini
Mimi
sio
wewee
Nimejaribu,
nilielie
nikusahau
wewe
Eh
nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha
mi
na
aibu,wengine
wanicheke
juu
uko
na
mwingine
Eh
nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau
wewee)×4
Pengine
nilikupenda
sana,
Ulipokosa
nikakimya
hadhi
yangu
kaishusha
na
nikakusamehe
Au
pengine
niombe
msamaha,
Sikutosha
Mimi
kwako
ukatafuta
wa
kando
bado
nikakusamehe
Na
ningependa
nikuchukie
lakini
mi
si
kama
wewe
Ningependa
nikusengenye
lakini
mi
si
kama
wewe
Nimejaribu,
nilielie
nikusahau
wewe
Eh
nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha
mi
na
aibu,wengine
wanicheke
juu
uko
na
mwingine
Eh
nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau
wewee)×8
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.