Ethic - Pandana текст песни

Текст песни Pandana - Ethic



Outta Umojamaica
Prrrrr Kang Kang Banana,
Ninayo bas Tunabakana,
Hapo nyuma na sidika Mnafanana,
Maana kila day bana Unaitangaza,
Katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana,
Katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh
Madibala nazimanya,
Nika niko ndonyo Nikidungi nimepaka na itachoma
Mboto Nikidudu nikinyanya napoteza toko zikidundi,
Zikinyanya nazipeleka soko Kando ya tapo,
Machapo mpaka itoe dodo
Pigwa finger na kidole kimejaa mangoto Nayo
Theo hapana na lock, tunapiga koto Sampe gwara lock,
Tupa ka ana joto Banana,
Ninayo bas Tunabakana,
Hapo nyuma na sidika Mnafanana,
Maana kila day bana Unaitangaza,
Katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana,
Katangaze basi baby Si hupandana,
Panda panda Si hupandana eeh Shandana Kaa ni mblaina inabidi aweke
Lawama Toka teke cheki banger basi ulala Toto yako iyeke fiti
Nitaikulala Under water nakwambia 'shaitangaza (mmmh hhhmmm)
Nakwambia 'shaitangaza Ni nare come na shadda tutaiwashana Pale
Zabe macho zangu zimenyanyana Iko ready imesteady na ni Banana,
Ninayo bas Tunabakana,
Hapo nyuma na Sidika Mnafanana,
Maana kila day bana Unaitangaza,
Katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana,
Katangaze basi baby Si hupandana,
Panda panda Si hupandana eeh Mpate ametii ako lit Bila pupa
Atawafeast Kwanza akianza story za matapa tapa ndani ya boo Donda
Kumdandia atamdandia mpaka kesha Ati nguna anadaisha mboko bigi kaa
Amepewa Donda anadandia ndae ora ora don don Donda anachangia
Ngwai oya oya don don Alafu anakazia ngwai oya oya don don Banana,
Ninayo bas Tunabakana, hapo nyuma na sidika Mnafanana,
Maana kila day bana Unaitangaza,
Katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana,
Katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana eeh




Ethic - Pandana
Альбом Pandana
дата релиза
23-03-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.