Текст песни Kipetero Kiyesu - FEMI ONE feat. NVIIRI
"Alikuja
akanipush
akanipush
Hadi
nikaona
acha
niende
ni-
Niget
tu
ball
yake
Sa
kuget
ball
ati
nimeshakuja
Nimemwambia
niko
na
ball
Huyo
boy
nakwambia
aliniruka
Kipetero
Kiyesu"
Chali
ngori
anadai
wachana
na
party
cup
Told
me
that
nitakaa
supuu
with
a
baby
girl
So
nikajipa
na
mimba
akanipachika
Kisha
akanituka
Kipetero
Kiyesu
Sa
nikipiga
namba
mteja
hapatikani
Utadhani
high
jump
na
yeye
olympian
Nikiwa
napanga
kumuonyesha
kwetu
Aliniruka
tu
kipetero
Kiyesu
Naishi
pale
Kasa
na
hawa
mapacha
5 years
bila
the
dad
na
sijamhata
Wakivunja
kitu
niulize
nani
anachapwa
Wanarukana
tu
kipetero
kiyesu
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
vile
tunabebwa
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
kipetero
kiyesu
Wakaapa
wakishapata
mamlaka
Mahitaji
wananchi
watapata
Waliposhinda
ni
scandal
juu
ya
sakata
Ruka
mwananchi
kipetero
kiyesu
Waliungana
ati
hiki
chama
chetu
Ndio
tutatumia
kujenga
taifa
letu
Lakini
siasa
si
watu
nyemelea
tu
Kisha
kurukana
kipetero
kiyesu
Wakirudi
huku
tena
piga
debe
Tunawapea
mizigo
zote
wabebe
Watazilipa
hata
madeni
kwa
pede
Kwa
ballot
twarukwa
kipetero
kiyesu
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
vile
tunabebwa
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
kipetero
kiyesu
Athletes
hujidai
wazalendo
Kataa
kuchange
citizenship
kuget
doh
Lakini
juu
ya
hii
siasa
na
magendo
Wanatokwa
tu
kipetero
kiyesu
Wasanii
wanamake
ngoma
na
bidii
Toka
manewcomer
mpaka
wenye
jina
biggy
Ngoma
ikiblow
unadhani
pesa
ni
mingi
MCSK
ni
ka
Petero
kwa
Yesu
Mcees
hutaka
collabo
na
picha
Wanabatizwa
wanaoshwa
wanafichwa
Wakiambiwa
Femi
One
alikuzika
Wanakanaga
tu
kipetero
kiyesu
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
vile
tunabebwa
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
kipetero
kiyesu
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
vile
tunabebwa
Refa
(Referee)
Refa
(Ona
referee)
Ona
vile
tunachezwa,
kipetero
kiyesu
I'm
in
trouble,
I'm
in
trouble
Beth
rack
on
the
door
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.