Femi One - Nyoko Nyoko текст песни

Текст песни Nyoko Nyoko - Femi One

Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii Hapo si unajua nakuchorea mami
Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku Tupu
Nazitoka bana za athuthu Si hapo ukinitoka nyokonyoko(
Nyokonyoko) Ju hapo ukining'ora ni mamboko(
Ni mamboko) Morio ukining'ora nyokonyoko(
Nyokonyoko) Juu hapa ukining'ora ni mangoto(
Ni mangoto) Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko,
Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko,
Nyokonyoko weeh Wanjiku amejipaka wanja Jicho peptang juu ya kiganja
Macookie na makeki za kibanda Na mifuko zimeshonanga tu na mabanda
Exhibit zimejificha kwa mbosho Na marubber after kuchipo si ni
Kuthosho Barter trade si nilifikaga na vidosho Rombosaga maana kesho
Huku ni kegocho Alafu X-ray mkiingia nawascan Kikishika kikolo
Kipitishe what a gwan Ka hukufunzwa buda na mathako utalearn Mbogi
Inachachisha makombora za Saddam Oya oya eeh,
Oya oya aah Uber nganya pandisia bodaboda eeh Muko local mi Busia
Bodaboda aah Eti muko local mi Busia
Bodaboda eeh eeh eh Si hapo ukinitoka nyokonyoko(
Nyokonyoko) Ju hapo ukining'ora ni mamboko(
Ni mamboko) Morio ukining'ora nyokonyoko(
Nyokonyoko) Juu hapa ukining'ora ni mangoto(
Ni mangoto) Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko,
Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko,
Nyokonyoko weeh Ng'ora ng'ora nikucheze kama thing'oi Ukiseswa ka
Umetokwa chungia nukia kinyoi Nikulambi nikuchimbe mmh kama gefoi
Msupa afunge duka aende anireplace na kitoy Ahh juu ya kutu si
Ameshika mbiro Juu ya rungu si atatoka mbio We ndio jiko na unachezea
Diro Una maroll aii,
Mi nachezea kilo Ju we ni smarta
Nitakuchezea kio Nina ofisi kuja nikuweke CEO
Uko fifty mi nakuwekea kioo Mwongozano,
Mtongozano mmmh Mkutano nichezee bano mmmh Niko bale,
Niko ngano mmmh Nina ngori ka
Kogalo mmmh Si hapo ukinitoka nyokonyoko(
Nyokonyoko) Ju hapo ukining'ora ni mamboko(
Ni mamboko) Morio ukining'ora nyokonyoko(
Nyokonyoko) Juu hapa ukining'ora ni mangoto(
Ni mangoto) Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko,
Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko,
Nyokonyoko weeh My girl ga,
Amegaragaza Chora saba wacha mi nidare rasa Shake legi seti tu
Kipasapasa Mbogi ni ya Kangundo si ya kule gaza Super kamba kila aina
Ya gengetoni We ni kuonanga town mpekedoni Dj Lyta anawakata kipema
Peponi Na bado si wanatu dare na maingwe thoni Aah,
Odi jina kubwa kama turi ya Vera Sidika walai huku nadai hela Hii
Mboko si free ka za wale mafathela Manjoti hadi utii nilikuwa
Kamagera Pedi wangu huenda mjei mpaka Jericho Na hizi ng'ango ni za
Wimbi za huko Mexico Na pale Dago ndo mi
Huendea mapetco Kando ya Pango ndo nilifinyaga Rachel

Авторы: Femi One

Femi One - XXV
Альбом XXV
дата релиза
24-04-2019

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.