Fena Gitu - Siri текст песни

Текст песни Siri - Fena Gitu



Sitaki mimi kufanya makosa
Penzi hili linafanya nakosa
Sikiri, nikikiri siri
Nitadhiri wawili akili zitaoza
Marafiki watazidi ongea
Wanafiki wazidi kuombewa
Usikiri, usikiri siri
Wacha ibaki hivi kati wewe na mimi
Hivi ndivo naona...
(Ona vile naiona)
Vile naonaaa.
(Ona vile nai...) ×2
Usikiri siri, usikiri siri
Ukikiri siri, usikiri siri
Hivo ndivo naoona
Vile naionaa
Keep it between me and you
Nobody has to know what we do
I was fooling around we cheating
Why are forbidden fruits so sweet
I wanna scream it out loud
Everytime we take it down low...
On the low, on the low
Usikiri siri, ukikiri siri
Usikiri siri hivo ndivo naona
Usikiri, hivi ndivo naonaa...
Ona vile nai...
Naiona vile nai...
Ona vile nai...
Naiona vile nai...



Авторы: Trufena Gitu


Fena Gitu - Unleashed
Альбом Unleashed
дата релиза
13-11-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.