Fid Q - Fid Q - Propaganda текст песни

Текст песни Fid Q - Propaganda - Fid Q



Nilipom-miss hakutokea
Ili kunigea kiss au kuni-hug
Hakuni-care, au binti aliendelea kunimwaga
Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakani-ditch
Nili-survive vipi, sikumuita first love bishi
Nahisi nilipata vibe ya kuipa truth a facelift
Haupati love bila michuzi, huna cashfit
Nkakesha ndani ya booth ′Huyu Na Yule' ika-first hit
Show kila mkoa haikosi kukupa guest-list
Life ikawa poa lakini u-player siwezi fit
Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi
Plus, hawara anapasha kitanda moto
Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyo mtoto
Na kuimba ′Mahaba Niue' uli-smile on my face
Haijalishi kama ana uzuri wa kum-turn hadi gay straight
Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaeza potea
Wengi wana-cheat na kuwaudhi, wachache wanao-play fair
Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo
Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
Roho inaniuma eh, roho inaniuma iye
Roho inaniuma, roho inaniuma, roho inaniuma iye
Nahofia kuumizwa moyo oho
Bila hata kupewa pole eh
Dudu lio mala, kwanini nilipe kidole
Oh moyo, roho inaniuma mie
Ndie hustle, ni wazi penzi lako ni safi
Na uniacha happy kila wakati, kubaki nawe ni kismati maybe
Kipi sipati? Na-hit kwa chart
Waloita street mziki haunlipi wako wapi?
Waniache nkate nipate bei
Money makes a man, lakini love ni hustle
You know who you love, but you don't know who loves you
Wakunifanya niwe Baraka ka Michelle
Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5 star hotel
Dawa sio chungu, ndugu, chungu maradhi
Haki ya Mungu tena chuki humchoma anaeihifadhi
Kusahau siwezi sawa na kumkumbuka nsiyemjua
Mapenzi yalifanya nkaumbuka, nnachoshukuru hayakuniua
Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo
Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
Roho inaniuma eh, roho inaniuma iye
Roho inaniuma, roho inaniuma, roho inaniuma iye




Fid Q - Propaganda
Альбом Propaganda
дата релиза
19-03-2011




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.