Текст песни Roho - Fid Q , Christian Bella
(O-oo,
o-oo)
(O-ooh,
moyo)
(Oh-oh
moyo
uwo)
Nilipom-miss
hakutokea,
ili
kunigea
kiss
Au
kuni-hug,
hakuni-care
huyu
binti,
aliendelea
kunimwaga
Sijawahi
penda
kama
hivi
lakini
mapenzi
yakani-ditch
Nili-survive
vipi
sikumuita
first
love
bitch
Ninahisi,
nilipata
vibe
ya
kuipa
truth
a
facelift
Haupati
love
bila
ya
michuzi
hauna
cash
Fid
Nikakesha
ndani
ya
booth,
Huyu
na
yule
ikawa
first
hit
Show
kila
mkoa
haikosi
groupie
kwa
guest
list
Life
ikawa
poa,
lakini
u-player
siuwezi
Fid
Sikufichi
inaboa
ile
mbaya
kuvaa
jezi
nyingi
Plus,
hawara
anapasha
kitanda
moto
Na
haifanyi
upweke
ukaniacha
kiasi
cha
kumganda
huyu
mtoto
Na
kuimba
mahaba
niue,
with
a
smile
on
my
face
Haijalishi
kama
ana
uzuri
wa
kum-turn
hadi
gay
straight
Mapenzi
ni
kama
ligi
ya
mbuzi
striker
anaweza
potea
Wengi
wanawa-cheat
na
kuwaudhi
wachache
wanao-play
fair
Mapenzi
ni
matamu
'nahofia
kuumizwa
moyo,
ye-yeye
(kuumizwa
moyo)
Nashindwa
kujaribu,
roho
inaniuma
sana
Roho
inaniuma,
eh
Roho
inaniuma,
iya
Roho
inaniuma,
roho
inaniuma
Roho
inaniuma,
iye,
yeah,
yeah
Ninahofia
kuumizwa
moyo
Bila
hata
kupewa
pole
Dudu
liumalo,
kwanini
nilipe
kidole?
Ooh
moyo
(moyo),
roho
inaniuma
mie
Dear
hustle,
ni
wazi
penzi
lako
ni
safi
Na
huniacha
happy
kila
wakati
kubaki
nawe
ni
ki-smart
baby
Kipi
sipati?
Ninahiti
kwa
chati
waliotashtiti
mziki
haunilipi
Wako
wapi?
Waniache,
mkate
nipate
baby
Money
makes
a
man,
lakini
love
ni
hustle
You
know
who
you
love
but
you
don't
know
who
loves
you
(who
loves
you)
Wakunifanya
niwe
Baraka
kama
Michelle
Tabasamu
zaidi
ya
wafungua
mlango
wa
5-star
hotel
Dawa
sio
chungu
ndugu,
chungu
maradhi
Haki
ya
Mungu
tena,
chuki
humchoma
anayeihifadhi
Kumsahau
siwezi,
ni
sawa
na
kumkumbuka
nisiyemjua
Mapenzi
yalifanya
nikaumbuka,
ninachoshukuru
hayakuniua
Mapenzi
ni
matamu
'nahofia
kuumizwa
moyo,
ye-yeye
(kuumizwa
moyo)
Nashindwa
kujaribu,
roho
inaniuma
sana
Roho
inaniuma,
eh
Roho
inaniuma,
iya
Roho
inaniuma,
roho
inaniuma
Roho
inaniuma,
iye,
yeah,
yeah
(roho
inaniuma)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.