Fid Q feat. Maua Sama, Hard Mad & Noorelly - Ulimi Mbili Feat Maua Sama, Hard Mad, Noorelly текст песни

Текст песни Ulimi Mbili Feat Maua Sama, Hard Mad, Noorelly - Fid Q , Maua Sama



Hawamaanishi wanachosema ila huongea ya maana Maandishi nayo yatema yakipotea ujue una laana
Wana drama ukikwama lawama za bwana akikukana ni uhasama unanichanganya kutamaniana ujana una maana kupendana
Mapenzi sio mashindano ya flani na flani wako wanaishi Ni makubalianao ndani ya kimoyo honey umridhishe
Kuyaanza ni vigumu kutengana ni rahisi
Kuyafanza vidume wakaanga sumu wote uwa tight
Unamuita Queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina pin na mapassword kila kona Na majina kama Cadabra kumbe ni ibra yaani Roma
Na aliyem-save kama baba ndo yule hujiiba nae kinoma
Ukienda kasi utaona love iko fasta kiasi kwamba your first lover hawez kuwa your last
Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mashiko anakuomba nadusko anaoga batonga anagonga vitu
Unamuita darling my wife mamyto unapata habari za wanafki kuna warafi wanamla hadi jicho
Unaemtaka haumpati utampata wapi Anaekutaka haumtaki haumpi nafasi
Akikutega ukijiweka haukohoi utakesha tu unacheka ulishatekwa home boy
Weka yeye atoe Asiya enzi na usimboe
Wengi wanajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy
Ahhhh
Kijana unanichanganya unanivuruga mimi everyday
Aaah
Najali wangu muda wananizuga kumbe hawakei ×2
Hawamaanishi wanachosema lakini huongea ya maana×2
Ulimi mbili ulimi mbili ulimi mbili×4
Mapenzi ya kweli ni kama jini Wachache ndo wameona muache anaokuona unanini
Kusoma ujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni kisha wana-act kama virgin in the morning
Ili picha uipate ficha flash wasiione
Wengi hawa graduate na A wana graduate na Aids when graduate utawajuaje kwamba wanahitaji confess ilimladi wasexy na washikaji wasi wacheke waki-test blood wanawapa stresser uponyaji ni hadi aki-bless God
Uliemchekesha unamliza na anajuta umemfirithi zaid ya gear reverse inavomaliza mafuta
Wazamani siwezi mwacha na Mpya niliyempata yupo kwetu
Mjanja hawezi ingia dukani kununua viatu akiwa peku
Kila msichana anataka bwana mwenye demu Aah inaonekana wanasaka bwana mwenye game
Mnachana mnachoma picha mna-change namba za phone Inakuumiza kichwa mapenzi yapo moyoni
Muda unapita unamuenzi hadi ndotoni unagundua yule mshenzi hakupendi lakini hamkomi
Akikutega ukijiweka haukohoi unakesha tu unacheka ulishatekwa homeboy weka yeye atoe asiya enzi na usimboe
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy
Ahhhh
Kijana unanichanganya unanivuruga mimi everyday
Aaah
Najali wangu muda wananizuga kumbe hawakei ×2
Hawamaanishi wanachosema lakini huongea ya maana×2
Ulimi mbili ulimi mbili ulimi mbili×4




Fid Q feat. Maua Sama, Hard Mad & Noorelly - Ulimi Mbili Feat Maua Sama, Hard Mad, Noorelly
Альбом Ulimi Mbili Feat Maua Sama, Hard Mad, Noorelly
дата релиза
13-08-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.