Frank - Mwaminifu - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Frank - Mwaminifu




Mwaminifu
The Faithful
Unastahili kuabudiwa
You deserve all the worship
Ewe mfalme wa mbingu na nchi yote
My King of heaven and earth
Na kuheshimu nakusujudu
And it's with honor that I bow
Leo sasa na milele
Today and always
Mwaminifu Mtakatifu
The Faithful One
Utamalaki ewe Bwana
You will reign Lord
Pokea sifa ewe mfalme
Receive the glory oh King
Mwenye nguvu na mamlaka yote
The Powerful one with all the authority
Na kuheshimu
And it's with honor
Na kusujudu
That I bow
Leo sasa na milele
Today and always
Mwaminifu Mtakatifu
The Faithful One
Utamalaki ewe Bwana
You will reign Lord






Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.