Frank - Mwaminifu текст песни

Текст песни Mwaminifu - Frank



Unastahili kuabudiwa
Ewe mfalme wa mbingu na nchi yote
Na kuheshimu nakusujudu
Leo sasa na milele
Mwaminifu Mtakatifu
Utamalaki ewe Bwana
Pokea sifa ewe mfalme
Mwenye nguvu na mamlaka yote
Na kuheshimu
Na kusujudu
Leo sasa na milele
Mwaminifu Mtakatifu
Utamalaki ewe Bwana




Frank - Mtakatifu
Альбом Mtakatifu
дата релиза
28-01-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.