FreshBoys - Usawa Huu текст песни

Текст песни Usawa Huu - FreshBoys



Kama haing'oki haikauki
Niko mbioni sichoki
Na nimefika ku-stay mpaka unikute umauti
Hustle hard!
Kutimiza ndoto wasije kusema naotea
Matunda ya hustle na wana na-share
Kiroho safi twa-survive hauwezi jua hata tukifulia
Hauna mkwanja ukiongea sana unaonekana unafoka
Mkwanja unakosha
Siku hizi matozi vibopa
Niko na mguu wa kutoka
Nipo karata ya mwisho wamelamba Joker it's OVER.!
But it ain't over! till it's over yet
Mikazo na hustle iendelee
Still at the bottom nafosi nichomozee
We gon make it in any way
Usawa huu yeah (huu!)
Mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
Usawa huu yeah
Chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
Usawa huu yeah (Go!)
Kumeshakucha so sivuti shuka (man)
Usawa huu yeah
Usawa huu yeah (huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu
Hauwezi kuona with your eyes
(Unh why?)
Nijiandalie party maskani alafu niwe surprised (what!?)
Labda nikupe a piece of advice (listen)
Are your scared? (scared?)
Nishafika ghetto ndo unaanza kuuliza are you there? (Are you serious?)
I am who I am and I'm FURIOUS (go!)
I'm staying maana siujui hata umauti man I'm curious (Get right!)
I'm surrounded with the purest
All we got is endurance
I pray to God nikifika popote kimziki nisionekane tourist
Are you sure? Vipi? I'm sure
Nitakushtua when I'm done with the tour
Man the song is not even yours
Siku saba zikipita ndo utaona dalili
We spreading ka' ugonjwa wa kifuaah
(Oyah weh!)
Usawa huu yeah (huu!)
Mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
Usawa huu yeah
Chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
Usawa huu yeah (Go!)
Kumeshakucha so sivuti shuka (man)
Usawa huu yeah
Usawa huu yeah (huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu
Unaweza kung'aa na huna bati
Boss na huna shpapi
Bonge la Game na hauja practice
(Hold on!)
Hii ndo tunaita bahati,milo safi,michapati
Ghetto nna mtoto ananiita Papi
Push to start hakuna car keys
Tulikua slow but now ni Godspeed
Toka God Did! Hunh
Sifanyi tena mambo small hata kama ku-Ball na Ball Big
Na kama ni Dough I'm more greed
I be running this whole league
They say more money, more problems, more stress
I'm not lucky I'm so Blessed kama Tillah
Bila hata ndumba kama sio nyumba ntavuta hata Pila 6iX
Usawa huu yeah (huu!)
Mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
Usawa huu yeah
Chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
Usawa huu yeah (Go!)
Kumeshakucha so sivuti shuka (man)
Usawa huu yeah
Usawa huu yeah (huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
Usawa huu
Huu huu huu huu huu huu



Авторы: Anthony Beatus Chilemba, David Severin Madembwe, Granton John Mwaipopo, Moumini Omary Khama


FreshBoys - Usawa Huu - Single
Альбом Usawa Huu - Single
дата релиза
15-01-2025




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.