G Nako - Lucky Me текст песни

Текст песни Lucky Me - G Nako



Lucky me lucky me oooh lucky me×3
Lucky me, lucky meeee
Ni pumzi ya uwezi ya kupeza
Tenda baba inavyokupendeza
Nanena uwezo zaidi ya muweza ndugu zetu
Wengi tushawapoteza aaa My lord
Lucky me
Majaribu nayashinda
Ni uwezo wa muumba
Wanadamu hawana tiba
Hamna kitu wataziba
Tutaanguka, tutasimama tena
Tukiamka, tunashikana vyema
Kama ni vita kwetu bado mapema
(Bado mapemaaaa)
Lucky me, lucky me ooooh lucky me×3
Lucky me, lucky meeeee
Ooooohhh
Kazin nipewa lidandasi
Kwa mola bado nina nafasi
Mtaani kuna ubinafsi
Hawataki kutoa kazi
Kwa mola bado nina nafasi
Lord lucky me
Lucky meeeee
Marafiki watapita, starehe zitanipita
Fashion zitanipita mola bado atanishika
Tutaanguka, tutasimama tena
Tukiamka, tunashikana vyema
Kama ni vita, kwetu bado mapema
Bado mapemaaaa aa
Lucky me, lucky me oooo lucky me×3
Lucky me, lucky meee
Ooooh lucky me
Ooooh
Ooooh lucky me×



Авторы: Ronald L Mack


G Nako - Lucky Me
Альбом Lucky Me
дата релиза
07-06-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.