Gloria Muliro - Nakuhataji текст песни

Текст песни Nakuhataji - Gloria Muliro



Nainuwa macho kwa mungu msaada wangu Ni kwako
Wewe Ni ngao ya maisha yangu
Kimbilio langu pekee
Niniakuomba misaidie nilinde uniponye
Nakuhitaji bwana nakutamani bwana
Ninajitowa kwako nitumie jinsi upendavyo
Mmmmmmh oooooh ooh ohh
(Ombi la moyo wangu baba nitumie upendavyo)
Eeh baba niniakuomba unijaze uwezo wako
Roho was mungu uwe nami
Upako wako ushuke kwangu
Uniongoze kwa kazi yako
Mataifa yakujuwe




Gloria Muliro - Sitolia
Альбом Sitolia
дата релиза
24-03-2014




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.