Gwaash feat. K4Kanali - Sherehe Sheria текст песни

Текст песни Sherehe Sheria - Gwaash



Yeah,aah,waah,aha
Kiki bo boom,kiki f- booy
Kwako sikuji ka si sherehe, sheria
Kesho niko wera leo sherehe sheria
Sunday kanisa ndo sherehe sheria
Eeh wagenge wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria
Siku hizi form haitoshi madrinks
Adisia food tugawe meda ya bill
Ndanya anauza nimejipin ka 15
Unajua ni siku gani ile siku ya masin
Na kwa hii bash si ndo walevi wareal
Usicock nganazi kabla utoe gaza strip
Kuna ndanya ameiva hao wengine ni mathegi
Ni matwerker wengine ni mavedi
Kaanga rada hizi section usimedi
Kiasi asi unaeza zitwanga za bebi
Anadai kunkumba, kwanini, anadai kukumba
Kwako sikuji ka si sherehe, sheria
Kesho niko wera leo sherehe sheria
Sunday kanisa ndo sherehe sheria
Eeh wagengee wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria
Nafeel niko thirsty
Na kitu inaniboo nimeboost in thirsty
Na cabin inalia firirinda na mahenny
Na yule waiter mkali mwenye hukuwa na majegi
Gas big tirries utadhani mali safi
Lakini last night aliniacha na madeni
Za madem ata sijawai jo hitaji
So naingia kwenye club na hasira zimepita za mkizi
Na kitu mi naona ni my ex na Naomi
Kwani amekuwa Rainbow nini?
Lakini nipe drinks mi nadai kukata
Kwako sikuji ka si sherehe, sheria
Kesho niko wera leo sherehe sheria
Sunday kanisa ndo sherehe sheria
Eeh wagengee wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria
Sherehe sheria, sherehe sheria
Wagenge wanataka sherehe sheria



Авторы: George, K4kanali, Martin


Gwaash feat. K4Kanali - Sherehe Sheria
Альбом Sherehe Sheria
дата релиза
18-03-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.