Gwaash - Shu Shu текст песни

Текст песни Shu Shu - Gwaash

Fat Boy
Mambo gwaash
(Koroo)
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo
Siji fanye uko juu ligi yako iko juu
Wee ni dog woo woo woo
Mwana Gwash a go hard
When I go to the booth
Outside na need fu-fu-fuluz
Me hupenda niki kata (kata)
Hawa ma keki ni wa fire (fire)
Kaa ni ngasha mi huchapa (chapa)
Na kaa ni para me huzichapa (lazima)
Why you nasty babie boo?
Why you spitting on my shoe?
Babie girl I don't need a boo boo
Biashara ni biashara na nie direda wana
I do wanna be rude to the girls in the gang
But wanna be good to the boys in my gang
Mama told me once am gonna be bad
Look at me now am always writing cheques
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo
Mbona moria una gwaya (onaa)
Na ulibanja tu vibaya (ooh)
Ati mi siezi ganda (ajee?)
Ati mi mnono sana (ajee?)
Ukimwok unatoka tu ruble
Una teveva ka fala
Mkiwa mbogi una banja
Wee Kangethe wa ku come
Heshiwa bazuu juu kwa ground niku tough
Na uki kata tuu diwa tuta jam
Ma palachi watu best kwa hii life
Juu waki strike hawezi look back
Ndio manaa mi wa rank kila time
Ku humble ina di life
Ata kama una weza crack
Ata kama unaweza chant
Hii maisha haina pro
Kila mtu ako chini ya sir jah
Chini ya mungu (chini ya sir jah)
(Chini ya sir jah)
Fat boy
God first
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo
Huo ni chali wa uduu
Ati vitu ye huduu ye hunifanya tu na shuu shu shuu
Nikismshow aache goks ye husema ndio boo
Ati goks ndio boo boo boo (boo boo boo)
Na unapenda kunipa vitu wee Fat Boy Gwaash
Hakuna si tuko fiti

Gwaash - Shu Shu - Single
Альбом Shu Shu - Single
дата релиза
21-02-2023

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.