H_art the Band - Nikikutazama текст песни

Текст песни Nikikutazama - H_art the Band



Nikikutazama moyo wayoyoma
Kipenzi cha ngoroo nakuyanza
Huenda leo tuko chini
Twatembea matopeni
Usiwaskize matapeli
Kesho tuna gari
Me nasaka mali
Twende kwenu mashambani
Nikalipe mahari
Tuishi kwa amani
Kweli toto si toto (tortoise)
Narola mtoto
Nipe busu my sweety (kwanini)
Nimekumissy
Twende tumwone kasisi
Ama DC kwa offisi
Turingie mafisi
Nakuyanza
Ni mless my dear
Ewe mpenzi sinzia
Mpenzi wangu sincere
Hii saa ni moss moss
When baby u r so close
Let me wipe off your lip gloss (mwax)
Nakuyanza



Авторы: Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama


H_art the Band - Nikikutazama
Альбом Nikikutazama
дата релиза
29-12-2014



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.