Hh - Nakuhitaji текст песни

Текст песни Nakuhitaji - Hh



Intro
Nakuhitaji roho mtakatifu
Maishani niongoze
Eh Mungu Elohim
Nijaze na roho mtakatifu.
(Prayer)
Jehova mtakatifu
Nafsi yangu yakuhitaji
Tuma roho msaidizi
Daima awe kiongozi.
Jehova mtakatifu
Nafsi yangu yakuhitaji
Tuma roho msaidizi
Daima awe kiongozi.
(Prayer)
Eeh Rapha mponyaji
Nahitaji uponyaji
Tuma roho msaidizi
Kwa imani aniponye.
Eeh Rapha mponyaji
Nahitaji uponyaji
Tuma roho msaidizi
Kwa imani aniponye
Nakuhitaji roho mtakatifu
Maishani niongoze
Eh Mungu Elohim
Nijaze na roho mtakatifu
(Prayer)
Jehova Nisi nakuhitaji
Roho wako anitakase
Moyo wangu uwe safi
Dhambini mimi nisizame.
Jehova Nisi nakuhitaji
Roho wako anitakase
Moyo wangu uwe safi
Dhambini mimi nisizame.
Nakuhitaji roho mtakatifu
Maishani niongoze
Eh Mungu Elohim
Nijaze na roho mtakatifu.
(Prayer)




Hh - Nakuhitaji
Альбом Nakuhitaji
дата релиза
23-09-2014




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.