Hamisa Mobetto - Sensema (feat. Whozu) текст песни

Текст песни Sensema (feat. Whozu) - Hamisa Mobetto




Baby mguu wa shingo mguu wa roho
Kama niko peponi
Sitaki bingo nipe show
Nirudishe utotoni
Oh baby boo nipe zaidi
Nifanye wa moto kwenye baridi
Nipandishe juu tena ikibidi
Wakalale watoto tukajigiji
Kama penzi mvinyo glass
Mi nishalewa tilalila
Yani sioni sisikii
Nishapoteza dira
Kama moshi na sigara
Yaani nyembe kwa kipara
Basi kama samaki we sangara
Konda dereva daladala
Basi funga mkanda
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Kiuno kwa chini kiteremshe
Makusudi ukiteremsha
Yamepanda majini niteremshe ooh
Oh baby niteremshe
Songo mbingo zake sifa
Yani samaki kakunjwa kakunjika
Makusudi zake picha
Ana vimacho vidogo kaumbika
Mi kwako zima moto
Eh moto
Asije susa nikaambulia kimoko
Eh moto
Yake maringo ni konyo
Oh konyo
Vyake vikubwa hapendag vidogo
Oh ndogo dogodo
Kama moshi na sigara
Yani nyembe kwa kipara
Basi kama samaki we sangara
Konda dereva daladala
Bas funga mkanda
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Sense ah sense sensema
Baby ukinipa nazizima
Amsha popo aeh aeh amsha popo
Kijapan kichina china
Amsha popo eh aeh amsha popo
Baby we sigina
Amsha popo aeh aeh amsha popi



Авторы: Donald Kente Rwebangira


Hamisa Mobetto - Sensema
Альбом Sensema
дата релиза
23-10-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.