Текст песни Nimechoka - Hanstone
Pararara,
pararara
Mafeeling
make
it
Hivi
ndo
tuseme
haoni
Ama
hajui
anachonifanyia
sio
sawa
Mmmh
yaani
kama
mate
simkauki
mdomoni
Kwake
nimekuwa
adui
alafu
aniombee
mabaya
Oooh
anaumiza
moyo
wangu
mama
Anaitesa
akili
yangu
sana
Anacheza
na
hisia
zangu
jamaa
Nimechoka
manyanyaso
na
penzi
langu
maana
Namfumania
nasamehe
Ooh
namrudia
twendelee
Si
bora
angeniambia
niwache
Kama
kampata
mwingine
waendelee
Mmmh
naonekana
chizi
wa
mapenzi
Nilijulikana
kwako
sijiwezi
Nishadira
bana
Mwenyezi
Ndo
anayejua
Nikisema
sana
nitalia
siwezi
Yamenichosha
mapenzi
Usiku
mzito
nautua
siwezi
Jamaa
nimechoka
Nimechoka,
nimechoka
Nimechoka,
nimechoka
Labda
tuseme
ni
utoto
Hajakuwa
nao
Ama
ujana
maji
ya
moto
Ndo
anaugua
ooh
Kwa
visa
visa
changamoto
Penzi
akaliua
ooh
Na
kutazama
kulia
na
kushoto
Ajali
ya
moyo
kanibutua
ooh
Sa
kwanini
nilimpa
moyo
Kwa
nini
anione
kolo?
Kwa
nini
nauliza
aah
Oh
juu
mpaka
chini
akaubwaga
moyo
Nimwamini
leo
mpaka
tomorrow
Sa
kwa
nini
anione
poyoyo
mama
Namfumania
nasamehe
Ooh
namrudia
twendelee
Si
bora
angeniambia
niwache
Kama
kampata
mwingine
waendelee
Mmmh
naonekana
chizi
wa
mapenzi
Nilijulikana
kwako
sijiwezi
Nishadira
bana
Mwenyezi
Ndo
anayejua
Nikisema
sana
nitalia
siwezi
Yamenichosha
mapenzi
Usiku
mzito
nautua
siwezi
Jamaa
nimechoka
Nimechoka,
nimechoka
Nimechoka,
nimechoka

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.