Harmonik - Harmonize'M текст песни

Текст песни Harmonize'M - Harmonik



Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya cm sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu alicheza vanga
Konde boy 4 every boddy
Ma music the shek your body
Cause Im doing this for my people
I wanna hear u sing talalala
Kipando kinanigadi
Mafans naongeza idadi
Salut kwa wangu wa geto
Segerea ukonga gwaragwara
Wasonipenda kazi wanayo
(Ooo kazi wanayo)
Mie sipegi ngenga pesa ninayo
(Ooo pesa ninayo)
Tunatia chenga wanafwata nyayo
(Eee wanafwata nyayo)
Tunapiga denda wanapiga miayo
(Eee wanapiga miayo)
We kesha kwa waganga nganga
Mwenzako najichanga nganga
Nazisanya faranga nganga nikipata natumia do wote
Ruksa ni kanga nganga
Napendaga vicheni vishanga nganga
Na uturi wa kanga nganga
Hakikisha unanukia
Oyaaa
Kushoto kulia kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya sim sa tuone mwang
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Napandisha wazimu wanalicheza vanga
Saminamina eee eee
Wakawaka eee eee
Saminamina eee eee
Waka waka eee eee
Ase saminamina eee eee
Wakawaka eee eee
Saminamina eee eee
Waka waka eee eee
Wanaotaka shindana na Mimi
Hawapati hata saare
Usishangae tatoo na vipini
Me mmakonde chaalee
Peace kwa walonileta mujini
Mondi wa tandale
Maneno majungu tupa chini muziki utawaleee
Kama nyapara kafunguliwa pingu eee
Kutwa tunachana mawingu eee
Ameshapanga we nani upangue
Unajitesa bure
Aga
We kesha kwawaganga nganga
Mwenzako najichanga nganga
Nazichanya faranga nganga
Nikipata natumia
Oyaaa
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya sim sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Napandiaha wazimu wanalicheza vanga
Bongaaaa l
Instargram benshiri_tz



Авторы: Dener Ceide, Marc Lubin, Nickenson Prudhomme


Harmonik - Jere'M
Альбом Jere'M
дата релиза
24-01-2010




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.