Текст песни
Bomboclaaattt
Aahhhh
Konde
boy,
call
me
number
one
Ya
dunia
mengi
Leo
nimegundua
utofauti
Kati
ya
raha
na
furaha
Do
you
know
that?
Hii
dunia
inamambo
Eti
kumbe
kuna
utofauti
Kati
ya
raha
na
furaha
Mhh,
kale
ka
distance
Baby
sikuoni
Eti
nikajiona
nisha
move
on
Utadhani
na-enjoy
Pombe
zimenichosha,
nipo
hoi
Dunia
ina
siri
Sio
kila
anayekula
raha
Moyoni
mwake
anafuraha,
eeeh
Lord
have
mercy
Nishagundua
furaha
yangu
ni
wewe
Kule
nilipata
raha
Ila
nkagundua
Furaha
yangu
ni
wewe
Kwa
wengine
nitajisumbua
Furaha
yangu
ni
wewe
Hata
siku
nikifa,
naomba
unizike
wewe
Mimi
na
wewe,
weewe
Siri
ya
nini,
oooh
Acha
nikwambie
Moyo
wangu
unatamba
nao
Na
wasikutishie
wengine
Wanautaka
wao
Ni
lazima
waichukie
Hii
couple
siyo
levеl
zao
Asubuhi
tukigombana
Usiku
ndo
wapatanao
Mhh,
kale
ka
distance
Baby
sikuoni
Eti
nikajiona
nisha
move
on
Utadhani
na-еnjoy
Kumbe
zimenichosha,
nipo
hoi
Dunia
ina
siri
Sio
kila
unayemuona
bar
Moyoni
mwake
anafuraha
Lord
have
mercy
Nishagundua
furaha
yangu
ni
wewe
Kule
nilipata
raha
Ila
nkagundua
Furaha
yangu
ni
wewe
Kwa
wengine
nitajisumbua
Furaha
yangu
ni
wewe
Hata
siku
nikifa,
naomba
unizike
wewe
Mimi
na
wewe,
weewe
Yoooh,
yooh
It's
Konde
Boy
Call
me
number
one
Bakhresa,
aah
Konde
Music
Worldwide
Mamasitaaa
Tekero
Tyokara
Mi
Amore
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.