Текст песни
Na
ye
ni
mwanadamu,
na
dunia
tunapita
Kama
kupata
kwa
zamu,
oh
zamu,
yangu
itafikaa
Siwezi
kana
damu,
kesho
wataja
nizika
Ila
ningependa
afahamu,
haya
mateso
aloniipa
Mmh!
Tena
mwambieni
aloninyima
mimi,
ndio
kampa
yeye
eh
Kupata
foleni,
nasubiri
yangu
mimi,
hata
ichelewe
eh
Oh
oh
oh
Sina
furaha
naigiza
ilimradii,
watoto
wasijihisi
vibaya
Huyu
mdogo
anauliza
eti
daddy,
mama
ameihama
kaya
Cha
kujibu
sina
nabaki
tu
kusema
Atarudi,
atarudi
mama
Atarudi,
anawapenda
sana
Atarudi,
atawaletea
zawadi
Atarudi,
eh
atarudi
mama
Atarudi,
atarudi
mama
Atarudi,
anawapenda
sana
Atarudi,
atawaletea
zawadi
Atarudi
Siwezi
sema
sijui
tatizo,
hali
yangu
duni
imefanya
ukanikimbia
Ni
vyema
ungefanya
maigizo,
mara
kumi
usingenizalia
Mmmh,
ingali
mapenzi
pekee,
ningesema
ni
changamoto
nijifunze
Ameniacha
mpweke,
na
watoto
niwatunze
Eh,
ila
siwezi
laumu
(ah),
wenda
yupo
sawa
(ah)
Kipato
changu
kigumu
(ah),
kutwa
bumunda
na
kahawa
(ah)
Eh!
Ila
mwambieni
aloninyima
mimi,
ndio
kampa
yeye
eh
Kupata
foleni,
nasubiri
yangu
mimi,
hata
ichelewe
Oh
oh
oh
Sina
furaha
naigiza
ilimradi,
watoto
wasijihisi
vibaya
Huyu
mdogo
anauliza
eti
daddy,
mama
ameihama
kaya
Cha
kujibu
sina
nabaki
tu
kusema
Atarudi,
atarudi
mama
Atarudi,
anawapenda
sana
Atarudi,
atawaletea
zawadi
Atarudi,
eh
atarudi
mama
Atarudi,
atarudi
mama
Atarudi,
anawapenda
sana
Atarudi,
atawaletea
zawadi
Atarudi
You
will
come
back
Atarudi
And
he
is
a
man,
and
the
world
we
pass
Na
ye
ni
mwanadamu,
na
dunia
tunapita
If
you
get
a
turn,
oh
turn,
mine
will
stay
Kama
kupata
kwa
zamu,
oh
zamu,
yangu
itafikaa
I
can't
bleed,
tomorrow
they
will
tell
me
to
bury
Siwezi
kana
damu,
kesho
wataja
nizika
But
I
would
like
him
to
understand,
this
suffering
he
gave
me
Ila
ningependa
afahamu,
haya
mateso
aloniipa
Hmm!
Again,
tell
him
who
denied
me,
it's
him
Mmh!
Tena
mwambieni
aloninyima
mimi,
ndio
kampa
yeye
eh
Getting
in
line,
I'm
waiting
for
mine,
until
it's
late
eh
Kupata
foleni,
nasubiri
yangu
mimi,
hata
ichelewe
eh
Oh
oh
oh
Oh
oh
oh
I'm
not
happy,
I'm
acting
as
long
as
the
children
don't
feel
bad
Sina
furaha
naigiza
ilimradii,
watoto
wasijihisi
vibaya
This
little
one
asks
if
daddy,
mother
has
left
the
house
Huyu
mdogo
anauliza
eti
daddy,
mama
ameihama
kaya
I
have
nothing
to
answer,
I
just
have
to
say
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.