Текст песни Magufuli - Harmonize
Mmmmh
I
wish
ningemwona
Magufuli
Nipige
magoti
Nimpongeze
hadharani
Yaani
Rais
wa
muungano
wa
Jamhuri
Mchapakazi
hachoki
Anaye
pinga
nani?
Mmmh,
Ametuvusha
vikwazo
Wewe
nami
ona
nchi
anavyoijenga
Flyover
sa
tunazo,
daraja
kigamboni
Airport
imesha
jengwa
Acha
nikupongeze
Kwa
Air
Tanzania
(Ielewe)
Zidi
baba
tuongeze
Airbus
Bombardier
(Ielewe)
Standard
gauge
tuteleze
Kusafiri
unasinzia
(Ielewe)
Acheni
tu
niwaeleze
Magufuli
papa
nia
(Ielewe)
Oooh
dady
Magufuli
Cheza
nikuone
(Kwangwaru)
Wasopenda
wabane
choo
(Kwangwaru)
Magu
muacheni
(Kwangwaru)
Oooh
daddy
Asa
Cheza
nikuone
(Kwangwaru)
Jembe
toka
chato
(Kwangwaru)
Magufuli
ndo
Rais
wa
wanyonge
(Kwangwaru)
Aga,
mpole
mtu
wa
dini
Hajachoka
tunashukuru
Amesamehe
mara
sabini
Papi
Kocha
sa
yuko
huru
Wa-Tanzania
tupewe
nini?
Vilokufa
yeye
kavifufua
Karudisha
nidhamu
serekalini
Ukileta
njanja
anatumbua
EEh!
Sekta
ya
madini
Umeme
maji
kero
zimepungua
(Asa
wee)
Elimu
bure
vijijini
Watoto
shule
wanabukua
(Asa
wee)
Ifikapo
elfu
mbili
na
ishirini
Kura
yangu
chukua
(Asa
wee)
Asa
tufiche
ya
nini
′Magu'
uongozi
anaujua
(Asa
wee)
Dar
es
Salaam
mwendo
kasi
Vituo
vya
afya
kila
kata
(Ielewe)
Machinga
tunachapa
kazi
Tena
huru
bila
shaka
(Ielewe)
Borigi
utani
ameongeza
Uchumi
uweze
panda
(Ielewe)
Serekali
Dodoma
inapendeza
Tanzania
ya
viwanda
(Ielewe)
Oooh
daddy
Magufuli
Cheza
nikuone
(Kwangwaru)
Wasopenda
wabane
choo
(Kwangwaru)
Magu
muacheni
(Kwangwaru)
Oooh
daddy
Asa
cheza
nikuone
(Kwangwaru)
Jembe
toka
chato
(Kwangwaru)
Magufuli
ndo
Rais
wa
wanyonge
(Kwangwaru)
Asa
wote
wa-Tanzania
Tusimame
imara
(Imara
imara)
Yaani
wote
Tanzania
Imara
Tanzania
tusonge
mbele
John
Pombe
Magufuli
Simama
imara
(Imara
imara)
Yaani
wote
tusonge
mbele
Imara
Tanzania
tusonge
mbele
Oooh
mama
Samia
Suluhu
Basi
simama
imara
(Imara
imara)
Kwa
pamoja
tusonge
mbele
Imara
Tanzania
tusonge
mbele
Baba
Kassim
Majaliwa
Simama
imara
(Imara
imara)
Kwa
pamoja
tusonge
mbele
Imara
Tanzania
tusonge
mbele
Wasafi
Records
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.