Harmonize - You текст песни

Текст песни You - Harmonize



Bboy on the beat
Mmmmmh
Mmmmmh yeah
Mikono juu na surrender
Acha dunia ijue muuni amenpenda
Wangapi walikuja wakaenda
Mbona ni wewe
Mwenzako nahesabu calendar
Siku na masaa yanakwenda
Hebu fanyaurudi nakupenda
Basi nielewe eeeh
Kitaniumbua kifo kifo
Nikiyaficha maradhi
Sikujua before before
Kumpata unaempenda ndio kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
Pengine labda ukakasikia
Ishara tosha kuwa najutia
Fanya unisamehe ni mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria
Mazito tuliyo yapitia
Yaliyo kufanya utaki ata nisikia
Bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika (kamilika)
Hata unae mbhani malaika (malaika)
Bado anaweza kuwa shetani
Naukasema bora mimi (bora mimi)
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Oooh beibey
I miss you
I miss you
I miss you
I miss you
Kweli mapenzi hayaa ujanja
Hayajaligi jina mkwanja
Yani nimepita kila kiwanja
Ila nimesasa kwa mtoto wa masanja
Wewe ni mtu wa mungu tena mlokole
Yanini app ya mange
Wapiga majungu wakina lokole
Wanao pakaza me nakula bange
Naanguka makosa
Tena nipo radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malikia
Tuje kuanza tulipo ishia eeh eeh
Waambie mashoga zako si kwa ubaya
Ila me sipendagi kuongea
Unamsemaje mwenzako bangi mbaya
Kama hujawahi hata mgongea
Hakuna aliye kamilika (kamilika)
Hata unae mdhani malaika (bora mimi)
Bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi (naukasema bora mimi)
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Oooh beibey
I miss you
I miss you
I miss you
I miss you
Of course bboy on the beat
Konde boy call me number one
Bakhresa
It's what it is baby I want you to come back
It's what it is baby I want you to come back
Come back my baby




Harmonize - You
Альбом You
дата релиза
27-04-2022

1 You




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.