Ibraah - Hayakuhusu текст песни

Текст песни Hayakuhusu - Ibraah



Ukitaka kulea wakati unalelewa
Lazima uvunjie watu wazima heshima
Punguza mazoea unajifanya unacare wakati umemtelekeza faima
Achana na waliokutangulia
Wakati kesho yako hujui utakapoangukia
Unaweza wasafi ukatimuliwa na konde gang ukaja kusainiwa
Unashindana na mwanajeshi ambae vita aliianza baba yako (na awezi)
Msalumie kipara ndezi mwambie hata akikesha kwa sangoma hatuami mbezi
Nyimbo kaimbiwa kajala
Kauloka nakupitapita acha papara
Naskia unachimba mikwala
Hauna chochot huendebuma chakula
Mapen




Ibraah - Hayakuhusu
Альбом Hayakuhusu
дата релиза
20-04-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.