ICON - Sign the Line текст песни

Текст песни Sign the Line - ICON



Wachawi fulani wanamake wigo
Hatuna time ya kujibu mapigo,
Si tunawaza tu kumake mshiko
Aaaaah, and now we go...
The Icon
I still remember the time ambapo navaa kiatu kimoja
Naenda shule me everyday, Mama anasema mwanangu ngoja
Mambo yatakua vizuri nawe utaenda salama, vishawishi kiburi epuka
Muombe wako Maulana
Oooh! Hata wanishushe chini
Nibaki mimi nitasimama sidondoki natumaini
Hata wanishushe chini nibaki mimi
Nitasimama sidondoki natumaini
Endapo sina wewe
Hope I have, hope I have
Endapo sina wewe
Hope I have, hope I have
Kama utani utani boy
Zile hustle mtaani hoi
Na hamnishushi chini chini
Kiufupi hamnitoi
Kila kupita pozi na picha
Wanasemaga eti me bishoo
Silewi sifa sifake maisha
Nilipotoka Ni msoto
Najua raha najua njaa, so sibabaiki
Nazile shida za mtaa maneno wanafiki
Bila Me aulana wee, huwezi kwenda mbele (hey hey)
Wengi watakukana wee, unachofanya wasione (hey hey)
Bila maulana wee, huwezi kwenda mbele (hey hey)
Wengi watakukana wee, unachofanya wasione
Ooh! Hata wanishushe chini
Nibaki mimi nitasimama sidondoki natumaini
Hata wanishushe chini nibaki mimi
Nitasimama sidondoki natumaini
Endapo sina wewe
Hope I have, hope I have
Endapo sina wewe
Hope I have, hope I have
(Oooh ooo eeeh oooh oooh ooo eeeh oooeeeee oooooooh)
Tumaini langu ipo kesho yangu
Naaaaaaa amini
Naaaaaaa naamini tumaini langu
Nilijikwaa nikadondoka (kesho yangu)
Nimeamka nikaondoka (tumaini langu)
Ninamatumaini, najiamini, nikomakini, sishushwi tena chini.
Amen.




ICON - Sign the Line
Альбом Sign the Line
дата релиза
02-04-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.