Izzo Bizness - Ridhwan текст песни

Текст песни Ridhwan - Izzo Bizness



Yeah Yeah Yeah ahaha Tudd Thomas ahaha lemme talk to somebody right
Now Nahreal hey hey hey hey hey hey heeeeey now do
The jerk now do the jerk Riz now do the jerk hah hey
Izzo bizness & Mwasiti)
Naongea na Riz-one...
Okey...
Hey Riz-one...
Alright...
Street noma kimenuka Riz-one anhaa ongea na mshua we
Riz-one report hizi usipuuze Riz-one naongea na Riz-one...
Hey...
Hey Riz-one...
Hey...
Street noma kimenuka Riz-one...
Okey...
Ongea na mshua...
Alright...
We Riz-one report hizi usipuuze Riz-one
1(
Izzo bizness)
Acha nianze na KIKWETE kiongozi wa taifa langu nchi yetu
Bado tete huu mtazamo wangu aliahidi maisha bora kwa kila m
Tanzania japo uchumi umedorora mateso yametuzidia umeme wimbo wa
Taifa tumegoma kuimba uswahilini hawaishi malofa ukikatika vita ya
Simba true that hongera kwa barabara na shule za kata pia kwa
Kuongeza mishahara mafisadi kuwabania vyama pinzani asidharau atumie
Mawazo yao umoja nguvu asisahau nina imani atapiga bao kuhusu mikopo
Wanachuo wanateseka kweli hapo vipi hapo jitihada zingefanyika najua
Wengi washaongea mimi nakumbushia tu Hospitali Zahanati kwa wingi
Ziongezeke vijijini watu hawabaki bora mjini
Wakateseke kila kitu kwao dili achunge viongozi wake Riz
Izzo bizness & Mwasiti)
Naongea na Riz-one...
Okey...
Hey Riz-one...
Alright...
Street noma kimenuka Riz-one anhaa ongea na mshua we
Riz-one report hizi usipuuze Riz-one naongea na Riz-one...
Hey...
Hey Riz-one...
Hey...
Street noma kimenuka Riz-one...
Okey...
Ongea na mshua...
Alright...
We Riz-one report hizi usipuuze Riz-one
2(
Izzo bizness)
Atulindie mziki wetu haki zetu tunaibiwa bungeni atewekee watu
Tumechoka dhulumiwa wazee wanalalamika hawajalipwa mafao yao kazi
Kweli walichapa nani afute machozi yao wabunge hawakai jimboni mjini
Wamehamia wasisahau kuna campaign afanye mapema kuwashtua Rushwa
Ugonjwa usio na tiba tuupeleke Loliondo wanaosign tu mikataba
Mahakamani wapigwe nyundo michezo kajitahidi huku kwetu anasifiwa
Aongeze juhudi apunguze kulaumiwa ushikaji kwenye kazi ni sumu tena
Aache kazini ifanywe kazi usiku mpaka kukuche Polisi,
Jeshi vyombo muhimu aboreshe makazi yao nani tutamlaumu wakionyesha
Hasira zao madawa ya kulevya yanaua taifa la
Leo ni nani anayeyaingiza basi aweke mitandao Riz
Izzo bizness & Mwasiti)
Naongea na Riz-one...
Okey...
Hey Riz-one...
Alright...
Street noma kimenuka Riz-one anhaa ongea na mshua we
Riz-one report hizi usipuuze Riz-one naongea na Riz-one...
Hey...
Hey Riz-one...
Hey...
Street noma kimenuka Riz-one...
Okey...
Ongea na mshua...
Alright...
We Riz-one report hizi usipuuze Riz-one
3(
Izzo bizness)
Ulinzi shirikishi Kova kacheza kama Pele yanyuma hayaishi basi
Tugange ya mbele wakulima asisahau japo kilimo bado kwanza viongozi
Wenye dharau awakanye wasije mponza Dini na Ukabila mkataze
Hasiviruhusu tuzifuate zetu Mila maovu tusijitusu zimekua miradi kila
Kona makanisa yanaongezeka tu idadi labda dunia ndio inakwisha
Madiwani huku mtaani wanajisahau ahadi zao zipo hewani awakumbushe
Yeye ndo mdau Mahakamani haki hakuna wanafungwa bila hatia
Mwenyenacho ndiye anayepona hivyo ndivyo tunasikia report hizi Riz
Please usipuuze wanaelewa siku hizi hata kivipi uwachuze Arobaini
Zake mwizi basi kuiba asiwaze
Wananiitaga Kizzy tusonge buti tukaze Riz
Izzo bizness & Mwasiti)
Naongea na Riz-one...
Okey...
Hey Riz-one...
Alright...
Street noma kimenuka Riz-one anhaa ongea na mshua we
Riz-one report hizi usipuuze Riz-one naongea na Riz-one...
Hey...
Hey Riz-one...
Hey...
Street noma kimenuka Riz-one...
Okey...
Ongea na mshua...
Alright...
We Riz-one report hizi usipuuze Riz-one
Outro(Izzo bizness)
Mbeya city word up hahahaa yeah yeah now do the jerk Riz now do the
Jerk hah now do the jerk Riz now do the jerk hah now do the jerk
Rejerk now do the jerk rejerk now do the jerk rejerk now do the jerk
Rejerk now do the jerk rejerk now do the jerk rejerk hahahaaa Riz-one




Izzo Bizness - Ridhwan
Альбом Ridhwan
дата релиза
24-09-2015


Еще альбомы
Исполнитель Izzo Bizness, альбом Ma Nigga
2020
Исполнитель Izzo Bizness, альбом Rimoti
2020
Исполнитель Izzo Bizness, альбом Saa Sita
2020
Исполнитель Izzo Bizness, альбом Tusiwatese
2020
Исполнитель Izzo Bizness, альбом Rafiki
2020
все альбомы


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.