Текст песни Barua Kwa Rais - Jaguar feat. Sudi
1 [Jaguar,
Najua
sio
rahisi,
kukuona
Rais
Lakini
twajivunia
kuwa
Wakenya
Twatoka
kijiji
cha
mbali,
mbali
kisicho
na
hadhi
Lakini
twajivunia
kuwa
Wakenya
Barua
twatuma
na
baiskeli,
hivi
mpaka
lini
Lakini
twajivunia
kuwa
Wakenya
Hata
hizo
habari
hazitufikii
Juu
hatuna
redio,
wala
TV
Lakini
twajivunia
kuwa
Wakenya
Tunatamani
tukuone,
tukuone
Tukuone,
tukuone
Rais
Ili
si
na
we
tubonge,
tubonge
Tubonge,
yanayotusonga
sisi
Hata
mvua
haijanyesha
mwaka
jana
Mifugo
yetu
nayo
imekosa
nyasi
Chakula
cha
msaada,
hakitufikii
Mke
wangu
naye
alizalia
njiani
Sababu
huku
hospitali
iko
mbali
Na
ni
moja
tu
Hata
li
gari
Watoto
wetu
huku
pia
elimu
shida
Elimu
ya
bure
mahitaji
yanatushinda
Kaka
yangu
alokuwa
tegemeo
Kapoteza
miguu
Lamu
siku
ya
tukio
Lakini
twajivunia
Tunatamani
tukuone,
tukuone
Tukuone,
tukuone
Rais
Ili
si
na
we
tubonge,
tubonge
Tubonge,
yanayotusonga
sisi
Najua
sio
rahisi,
kukuona
Rais
1 Matapeli
2 Kipepeo
3 One Centimetre
4 Kioo
5 Tayari
6 Take It Slow
7 Kigeugeu
8 Barua Kwa Rais
9 Huu Mwaka
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.