Текст песни Bwana Yesu - Jam
Bwana
Yesu,
bwana
Yesu
Kimbilo
langu,
niwewe
baba
Tumaini
langu,
liko
kwako
Yahweh
Mimi
sina
uwezo,
sina
bwana
mwingine
ila
wewe
Mimi
sina
uwezo,
sina
bwana
mwingine
ila
wewe
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Hallelujah,
Hallelujah
Ulinifia
mwokozi
wangu,
dhambi
zangu
zote
ukaziocha
Sijapata
mwingine,
dunia
yote
kama
wewe
Yahweh
Sijapata
mwingine,
sijapata
mwingine
kama
wewe
Yahweh
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Nakuinua,
nakuinua
Milele
milele,
nitakuimbia
Kwa
yale
umenitendea,
baba
nakusifu
Milele
milele,
milele
taimba
bwana
wangu
Milele
na
milele,
milele
taimba
a
bwana
wangu
we
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Wewe
ndiwe
baba
yangu,
msaada
wangu
wa
karibu
Hallelujah,
nikuinua
milele
Mungu
wangu
Hakuna
mwingine
kama
wewe
Hakuna
hakuna,
hakuna
kama
wewe
Binguni
na
dunia
tuimbe,
hakuna
kama
wewe
Aliye
filia
dhambi
zangu
nasema,
hakuna
kama
wewe
Mponyaji
wangu
ndiwe
Jéhovah
rapha,
hakuna
kama
wewe
Hakuna
hakuna
naimba,
hakuna
kama
wewe
Hakuna
hakuna
nasema,
hakuna
kama
wewe
Ulimwengu
wote
tuimbe,
hakuna
kama
wewe
Dunia
yote
tusemee,
hakuna
kama
wewe
Hakuna
hakuna,
hakuna
kama
wewe
Hakuna
hakuna
nasema,
hakuna
kama
wewe
Hakuna
hakuna
naimba,
hakuna
kama
wewe
1 Dear Parents
2 Karibuni
3 Prendi Mipe
4 Kirie
5 Holy Holy
6 Bwana Yesu
7 Ndimuonge
8 Ngee, Pt. 2
9 Nkalekela Umweo
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.