Joh Makini feat. Sauti Sol - Kutulia текст песни

Текст песни Kutulia - Sauti Sol , Joh Makini



She know, she know, she know, she know, she know She know, she know,
She know, she know, she know She know, she know, she know, she know,
She know Ashanielewa,
Nishamwelewa Kaa kwa kutulia I say
Ashanielewa, nishamwelewa So kaa kwa kutulia I say
Sarakasi mingi mtoto acrobatic Mwendo wa kubonyeza kit automatic
Verified gyal, nampa ma blue tick So sweet gyal napiga ma hatricks
Eey, nakula kismarti Eey, nasona kismarti Eey,
Visoo na manoti Vile me ni GOAT,
Si noma si noma mninoti Watoto hawatoki,
Hapa mi sinoki Rudi ukajikoki, si noma si noma mninoti Eey,
Mi na mama no P you know how we do this She is so fine Number 1 kwa
Charti, she is one in a million(aah) Mrembo wangu zawadi,
She is one in a million One in a million, one in a million,
One in a million Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa So Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa So Kaa kwa kutulia I say Its about to be your birthday
Its about to be your party Am about to be your Zari Am about to be
Your Zari You′re my crib tonight,
Tanzanite Shawty usinifichie white Would you come over to my crib
Tonight Am gonna show you how the future like You're my crib tonight,
Tanzanite Shawty usinifichie white Would you come over to my crib
Tonight Am gonna show you how the future like She is so fine Number 1
Kwa charti, she is one in a million(aah) Mrembo wangu zawadi,
She is one in a million One in a million, one in a million,
One in a million Kaa kwa kutulia I say Wanasema kila kitu kwa kiasi
Ila wewe mimi nakula mpaka basi Walisema mapenzi kiti cha basi Basi
Me nishanunua hili basi Dasi, classy, nasty,
Shawty you knock me down Wala si kubishana Mikono juu mama
Sitabishana Sitaki kuonekana Nifiche juu sitaki patikana Eeey,
Maradhi yapo juu sana Njoo na mimi nipate nafuu
Mama Eeey, maradhi yapo juu sana Maana I mean.
She is so fine Number 1 kwa charti,
She is one in a million(aah) Mrembo wangu zawadi,
She is one in a million One in a million, one in a million,
One in a million Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa So Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa Kaa kwa kutulia I say Ashanielewa,
Nishamwelewa So Kaa kwa kutulia I say You know, you know, you know,
You know, you know You know, you know, you know oooh She know,
She know, she know, she know,
She know She know, she know, she know, she know



Авторы: Jackson Makini


Joh Makini feat. Sauti Sol - Kutulia Feat Sauti Sol
Альбом Kutulia Feat Sauti Sol
дата релиза
04-03-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.