Joh Makini - Mchele Feat Young Lunya текст песни

Текст песни Mchele Feat Young Lunya - Joh Makini



Nautaka, mchele Unanitaka, mchele Naufuata, mchele Unanifuata,
Mchele Nisiagize vibaba nivute shehena Hunipati vibaba vikao Serena
Tusifanye vishow soo tujaze arena Tusikwame ki-Bongo,
Ki-Zari na Wema Yoh,
Am not guilty you got to feel me Ukata ni disaster,
You feel me Ushanta ni kupata mjini La sivyo,
Utazima data mjini Nyumbani nanga inapaa Game loaded chapaa Hewani mi
Ndo nakam Hapa mchezoni papa Hapa ulingoni baba Nalea wengi kwa mtaa
Leta utambale kaka Sio kila siku hunogea Unapokamata mchele Duniani
Ka paradiso Na ukichacha mizozo mizozo So now here we go Unapokamata
Mchele Duniani ka paradiso Na ukichacha
Mizozo mizozo So now here we go Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Mchele, mchele, mchele, mchele Mchele, mchele, mchele,
Mchele Mchele, mchele, mchele, mchele Mchele, mchele, mchele,
Mchele Nautaka, mchele Unanitaka, mchele Naufuata, mchele Unanifuata,
Mchele Nautaka, mchele Unanitaka, mchele Naufuata, mchele Unanifuata,
Mchele Eeey baze tui namanga na mpaka banga imezidi Plus na waganga
Mkiganga hatuoni ligi Plus Instagram na huko Twitter magwiji
Mkidanganyana eti mnachukuaga vijiji Eti Weusi basi Lunya tukiwakata
Lunya Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya Nini
Mnastaajabu leo Joh kazi na Lunya Nyinyi mna maajabu gani?
Msotaka kuvuma Tunaondoka hapo sasa Si ndo si mambo sasa Tuliondoka
Hapo kaka Tunakusanya za pale Tunapitia za hapa Tunakulaga pa hapa
Arapimu utaapa Unapokamata mchele Duniani ka paradiso Na ukichacha
Mizozo mizozo So now here we go Unapokamata mchele Duniani ka
Paradiso Na ukichacha mizozo mizozo
So now here we go Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Here we go ooh ooh(
Huko huko) Mchele, mchele, mchele, mchele Mchele, mchele, mchele,
Mchele Mchele, mchele, mchele, mchele Mchele, mchele, mchele,
Mchele Nautaka, mchele Unanitaka, mchele Naufuata, mchele Unanifuata,
Mchele Nautaka, mchele Unanitaka,
Mchele Naufuata, mchele Unanifuata, mchele



Авторы: Jackson Makini


Joh Makini - Mchele Feat Young Lunya
Альбом Mchele Feat Young Lunya
дата релиза
08-08-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.