Joh Makini - Nyota Feat Damian Soul текст песни

Текст песни Nyota Feat Damian Soul - Joh Makini



Awee ohoo
Awee ohoo
Gud gud records
Ehee
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nawala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Nawala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Ma money is na money man hee
(Awe ohoo)
Laala lala wait till i get ma money
Kama dala nakusanya jala
Usiniuzue meno what′s funy hee
Mi ni mpango wa babangu alie juu
Nami namipango mmoja wapo n huu
Nazibebea bango kuzipeleka juu
Mama ake king na king watabasam tuu
(Awee ohoo)
Vile king nazipga blingbling flow zngatia usafi
Watoto wa pale kitaa si waliishi makapi
Mi ndo mkondo mwenyewe mikondo sifati
Angalizo isiwe shida ha siangalii saa kujua mda
Najua kila muda ni saa ya kuwa murder
Sisi sio wale wazee wageuza mada
Sikimbizi nyie wazee nakimbiza chada haa
Laala lala wait till i get ma money
Kama dala dala nakusanya jala
Usiniuzie meno what's funy haa
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Na wala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Na wala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Hu lalaa wait till i get ma money
Uzidi kupata burudani apo kati kule nje ata ndani
Hu lalaa wait till i get ma money yoo
Uzidi kupata burudani apo kati kule nje ata ndani hoo
Napepeta pumba kujifunza
Pasipo kujifunza n kuwafunza
Kuthamini chako unapotunza Amini
Bora uzima mengine yatafuta
Kama maji kujaa na maji kupwa
Bora uzima akuna tapatapa ni mola pekee anainjinia apa
Bora uzima mengine yatafutwa
Kama maji kujaa na maji kupwa
Bora uzima akuna pupa pupa ni mola pekee anainjinia apa
Hee
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nawala siwaoni oni ee
(Awee ohoo)
Nawaka siwaoni oni ee
(Awee ohoo)
I don′t see no body
Sichungi ulimi sababu sizungumzii ya watu
Nachunga biashara maana binadamu si watu
Siziogopi asara maana asara unifunza vitu
Amkai patakatifu joh siwavulii viatu
Huu ni mziki tu vip mlaze makaburini watu
Baraka za baba angu zikao adharani
Na maushetani yenu vichochoroni
Laala lala wait till i get ma money
Kama dala dala nakusanya jala
Usiniuzie meno what's funy haa
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke hee
(Awe awe ohoo)
Na wala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Na wala siwaoni oni ee ee
(Awe ohoo)
Laala lala awe ohoo
Laala lala awe ohoo
Recods



Авторы: Jackson Makini


Joh Makini - Nyota Feat Damian Soul
Альбом Nyota Feat Damian Soul
дата релиза
04-09-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.