Joh Makini - Swagg (feat. Nandy) текст песни

Текст песни Swagg (feat. Nandy) - Joh Makini



Your juice, your swagg
Show me everything that you′ve got
Your juice, your swagg
Show me everything that you've got
Your juice, your swagg
Show me everything that you′ve got
Your juice, your swagg
Show me everything that you've got
Si lazima nikuonyeshe ma x ma
Sitozima ukinionyesha matxt zao
Nijue vile wanakutamani ka pilau
Nitie akili nisije kujisahau
Niitie mapenzi ya ndoa uzae
Utie mahaba ya Tanga nikae
Niitie matunzo ya ghali ung'ae
Kuanzia misingi mpaka vigae
Mezani menu ni viu kudivai
Na sio December ndo kuanza July
Tunaojilipa ndo tunajidai
Joh mi ni rapper wa suti na tie
Turn on the light, turn off the light
Shawty am a star you can see in the dark
Baby sitoki njia kuu, baki njia kuu
Nipandishe bei sitaki unafuu
Najua uko na option nyingi
Ila uko na mi kwa sababu za msingi
Kina Joh yuko na mambo mengi
Ila yu nawe kwa sababu za msingi
Penzi haliwezi likawa kauka nikuvae baby
Ulishatunga nawe nguo yangu nivae mwilini
Penzi haliwezi likawa kauka nikuvae baby
Ulishatunga nawe nguo yangu nivae mwilini
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Eey twendelee kila mikato high class
Vitendo ni upendo na tendo ni nafasi
Mi sichangii maana hiso kiti cha pasi
Tusiende kwa miti kabla ya miticlass
Twende kwa Mungu kisha ndo kwa wazazi
Nipende kwa moyo ndo uje kwa mavazi
Pale pa kushuka ndo tunapenda ngazi
Ambia hawawezi mumeo jambazi
Nina pistol nina Kristo
Kama papa benedicto, kuna mema na mapito
Mepesi na mazito, shinda yote tuvuke mito
Una nia nina wito, say no more shawty, finito finito
Your juice, your swagg
Show me everything that you′ve got
Your juice, your swagg
Show me everything that you′ve got
Your juice, your swagg
Show me everything that you've got
Your juice, your swagg
Show me everything that you′ve got
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea
Hapana hapana chezea, hapana chezea



Авторы: Faustina Charles Mfinaga, John Simon


Joh Makini - Swagg
Альбом Swagg
дата релиза
05-11-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.