Juma Nature - Sitaki Demu текст песни

Текст песни Sitaki Demu - Juma Nature



Sitaki Demu!
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara
Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala
Aaah bwana eh usinifate bwana
We si ukalale uwape mbu faida bwana
Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani nani
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Nimetokea upande wa pili nmeenda kwa kina bashir
Na usije kwetu hakuna kitenge wala kanga
Shauri ukija wazazi wangu watakuona mwanga
Nakumbuka ile siku ambayo umenisemelea kwa Dingi
Ukadai ya kwamba me uwa nachanganya mitungi
Na kwenye kula ganja kilasiku sijifungi
Ukaondoka na cheko nyuma ukaacha kivumbi
Aya sasa unaona mwenzio umeniachia zogo
Mjeruhi wa simba, chui mjeruhi wa mbogo
Umesababisha hata majirani wananitupia kisogo
Tena usinibishie ntakupa kidochi chi chi
Tatizo limenisumbua me sitaki unung'unike
Wakati napita we kimbia ndio mia niishike
Na usinilete zile zako za kike kike
Na kuanzia muda huu me naudhu usinshike
Afadhal demu mwenyewe ungekuwa unafunga domo
Hapo ningejipa moyo unalijua somo
Tena angalia sana usinizuge na shikamoo
Aya nimeghairi nenda kwa huyo huyo Jemo
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (Hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai
Hivi sasa me najuta sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Bora nitafute mchumba sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Ukimpikia nyani shambani atakusumbua
Utayavuna mabua na usiombee wenzio kujua watakucheka
Kizuri munju mwenda ranga siye mkongoto niliyoupamga, hata ukiwanga
Kipi kimegusa we kipusa uliyesuswa
Mpaka ukawambia wenzio unanirusha, unanirusha'?
Ukome kunzushia tena usilete za kizushi
Kwanza ziache uhuni
Hunitupi kwa kichechema wala kipande cha mbuni
Mkongwe naitwa Kibra mwenye maana hachunwi
Mradi nshapima nmeonekana sina ngoma
Wee bado hujakoma?
Nimekuambia sitaki demu, ukinifwatilia nitakushtaki
Nikitoka hapa nikirudi sitaki kuona umebaki
Ujificha kwenye kabati au kufia andaki
Msichana gani mhuni kila siku unaongwa laki
Hata kama ni njaa mama hii yako imezidi
Niache niwe free nimpate yule namtaka
Ambaye najua nitatumia muda wangu kumsaka
Mtoto aliye wa kweli, ukimwona anao uwezo wa kuishi kwenye Ushelisheli
Sitaki demu ebu uko
Jamani!
Huyu demu mtoto wa mzee Mwalubadu
Yule mzee mvuvi anayeongoza kwa kuvua ngadu
Na tena una bahati dada yangu sijakuoa
Ningekupa talaka yasiyo na masikio yoyote
We mtu gani muhuni unatambulika njia zote?
Ama tambaa zako bwana hunitishi lolote!
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (Hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai
Hivi sasa me najuta sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Bora nitafute mchumba sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Sitaki demu!
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (Hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai
Hivi sasa me najuta sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Bora nitafute mchumba sitaki demu sihitaji eeh (Sitaki demu)
Sitaki demu!
Sitaki demu!
End




Juma Nature - Best of Juma Nature
Альбом Best of Juma Nature
дата релиза
24-09-2015


Еще альбомы
Исполнитель Juma Nature, альбом Yanga
2022
Исполнитель Juma Nature, альбом Mtoto Iddi
2019
Исполнитель Juma Nature, альбом Hili Gemu
2019
Исполнитель Juma Nature, альбом Histori
2006
Исполнитель Juma Nature, альбом Ugali
2002
все альбомы


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.