Jux - In Case You Don't Know (feat. Nyashinski) текст песни

Текст песни In Case You Don't Know (feat. Nyashinski) - Jux feat. Nyashinski



Its Bob Manecky
Ni maradufu
Upendo wako umenifaa
Ni maradufu yeah yeah
Uwepo wako umetawala
Nikiwa pekee yangu (bado bado)
Sijakamilika (bado)
Ata mipango yangu (bado bado)
Inavugurika (bado)
Hakuna anayezidi kwako mama
Nguvu ya mapenzi yako balaa
Umenifanya nijione bora
Bila wee me siwezi ng′ara
Hakuna tena zaidi yako mama
Nguvu ya mapenzi yako balaa
Umenifanya nijione bora
Bila wee me siwezi ng'ara (no no)
Incase you don′t know (iye)
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don't know (iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know (iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don′t know (iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe (iye)
Incase you don′t know
Hii inaweza kuwa fresh
Ka una time twende mahali out
Okey nachoshwa, usimind naeza kaa kwa couch
Nitry kukuimpress ata smile baby angalau
Na tunatesa hii town tunairun walai
Mahater wanakesha wakitry kubring huyu lover down
Uskuwe na pressure sit down let me run my mouth
Isikuogopeshe ikisound kama wedding vows
Nikutumie location ukam mahali pia tulaunch
Night ikue special surroud sound, movie loud
Do be loud, si huwa loud ata bila party
(Its a party for two)
My mission is to always stay true
Live to see my dreams come true with you (you... uuu)
I smell the wine on your breath
Then you turn around and whine by yourself for me
You got me trying to resist,
I pay no mind to the rest
Na nakuanga nimekumind
You are the best for me
You pretty bum look
Now you make me love you
Now let me remind you
Or tell you incase you don't know
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don′t know (iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know (iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don′t know (iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe (iye)
Nasema me...
Najivunia kuwa na we...
Kwa furaha unayonipa, nipa darling (oooh)
Nasema me...
Najivunia kuwa na wewe... eeh
Kwa furaha unayonipa, nipa beiby
Incase you don't know (iye)
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don′t know (iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know (iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don't know (iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe (iye)
Incase you don′t know



Авторы: Eli Piano


Jux - In Case You Don't Know
Альбом In Case You Don't Know
дата релиза
22-02-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.