Текст песни Tabu - Karen
Ukija
niacha
moyo
wangu
Nitaumia
sana
mie
Ndomana
nikikuona
mwili
wote
unanitutusika
eeh
Kua
nawe
sina
hakika,utaniua
wee!
Mi
kunipa
pendo
lako,
Kwangu
imekua
kama
njozi,hata
pale
tufikapo.
Amini
naumwa
homa!
We
sio
wa
sampuli
wala
sample
Kwangu
umekua
kama
dozi,
Hata
pale
niangukapo,Awe
unaniinua
savipi
ukiniacha?
Me
nitapata
tabu
oooh
tabu!
x
4
Niko
na
wewe,kinywa
hakineni
Yanini
niandikie
mate,
Eti
kipya
kinyemi
maneno
ya
uvumi
yasinichachafye!
Mimi
umenifunga
semi
kwa
rafikizo
baba
usintangazie.
Ona
mana
fisi
bucha
hasusiwi
hata
buti
Haing′ai
bila
kiwi
malumbano
kando
hayatakiwi...
Sasavipi
ukiniacha?
Me
nitapata
tabu
ooooh
tabu!
x
4
Tujikongoje
tara
tara.Taratibu
kokote
sisi
tutafika
Visiwani
bara
bara.Majaribu
usitetereke
yatakwisha
Me
nitapata
tabu
oooh
tabu!
x
4
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.