Kidum Kibido - Kichuna текст песни

Текст песни Kichuna - Kidum Kibido

Nakuomba mpenzi uniskize
Tafadhali baby tuliza moyo
Kwa kweli niko wako
Hiyo usiwe na shaka
Wewe kaa ukitabasamu
Mara tu ukiniona
Penzi letu halina kasoro
Mimi na wee 'tapendana kiroho
Akusihi, tuliza moyo
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Niskize baby kwa makini
Kwa kweli mimi nimekutamani
Kilichoko mpenzi
Wewe nipe nafasi
Nikupe penzi hujawahi pewa
Nikuguse mahali hujawahi guswa
Kwa maana
Penzi langu halina doa
Kwa hivyo sasa tufunge ndoa
Tuishi pamoja milele
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Oh mpenzi wangu
Skiza wito wangu siwezi
Kuishi bila wewe
Oh kichuna changu
Songa karibu nami
Nikushike, nikubusu
Nikushike shike shike shike
Penzi letu halina kasoro
Kwa hivyo sasa tufunge ndoa
Tuishi pamoja milele baby
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia penzi letu, baby
Cheza, imba,
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba,
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Cheza, imba

Kidum Kibido - Ishano
Альбом Ishano
дата релиза
08-03-2017

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.