Текст и перевод песни Kidum - Mulika Mwizi
Ukiona
mwanaume
kwa
hali
ya
kulia,
jua
yakwamba
ameguswa
pahali
If
you
see
a
man
crying,
know
that
he
has
been
touched
in
a
place
Sio
rahisi,
si
kawaida
kushuhudia
mwanaume
akitoa
machozi
It
is
not
easy,
it
is
not
normal
to
witness
a
man
shedding
tears
Hapo
zamani
nilidhani
mwanaume
In
the
past
I
thought
that
a
man
Akipoteza
kazi
ndio
uchungu,
ndio
unyonge
Losing
his
job
is
pain,
is
weakness
Kumbe
mapenzi
ndio
sumu
kali,
But
love
is
a
deadly
poison,
Inayofanya
mwanaume
kulia,
kama
mtoto
mtoto,
kama
kibogoyo,
Which
makes
a
man
cry,
like
a
child,
like
a
blockhead,
Habembelezwi
hanyamazishwi,
Machozi
yake
inatoka
ikienda
tumboni
He
cannot
be
comforted
or
consoled,
his
tears
flow
down
into
his
stomach
Habembelezwi
hanyamazishwi
He
cannot
be
comforted
or
consoled
Machozi
yake
inatoka
ikienda
tumboni
His
tears
flow
down
into
his
stomach
Mulika
mwizi,
mulika
na
tochi,
mulika
Shine
a
light
on
the
thief,
shine
a
light
with
a
torch,
shine
Mulika
mwizi,
kama
kuna
giza
mulika
Shine
a
light
on
the
thief,
if
there
is
darkness
shine
Nimulikie
mwizi,
nasumbuka,
nataka
kujua
nani
mwizi
wa
mapenzi
Let
me
shine
a
light
on
the
thief,
I
am
troubled,
I
want
to
know
who
the
thief
of
love
is
Kwa
barua
pepe
kwa
simu
ya
rununu
Ujumbe
By
email,
by
cell
phone
message
Mfupi
unafutwa
na
sekundi
tatu
(sekundi
tatu)
A
short
message
gets
deleted
in
three
seconds
(three
seconds)
Nilimpenda
baby
wangu
I
loved
my
baby
Nikampea
roho
yangu
I
gave
her
my
soul
Amechukuliwa
She
has
been
taken
Amenyakuliwa
She
has
been
snatched
Kama
fulani
hapa
mtaani
Like
someone
here
in
the
neighborhood
Mwenye
magari
na
mapesa
Who
has
cars
and
money
Amechukua
baby
He
took
my
baby
Ikanifanya
crazy
It
made
me
crazy
Sibembelezwi
sinyamazishwi
I
cannot
be
comforted
or
consoled
Machozi
yangu
yanatoka
yakienda
tumboni
My
tears
flow
down
into
my
stomach
Msiomboleze
mnamujua
huyu
jamaa
Kajifanya
bubu
wengine
vipofu
Do
not
mourn,
you
know
this
guy
He
pretends
to
be
deaf,
others
blind
Mulika
mwizi
nimulikie
mwizi
(jameni)
Shine
a
light
on
the
thief,
let
me
shine
a
light
on
the
thief
(oh
my)
Nimulikie
mwizi
nasumbuka
Let
me
shine
a
light
on
the
thief
I
am
troubled
Nataka
kujua
I
want
to
know
Nani
mwizi
wa
mapenzi
Who
the
thief
of
love
is
Nani
mwizi
wa
mapenzi
Who
the
thief
of
love
is
Ukiona
baby
wako
If
you
see
your
baby
Anaingia
kwa
bafu
nasimu
mkononi
Huyo
ni
mwizi
(mulika
mwizi)
Going
into
the
bathroom
with
a
phone
in
her
hand
That's
the
thief
(shine
a
light
on
the
thief)
Ukiona
mzee
wako
If
you
see
your
old
man
Anazima
simu
kila
mara
Turning
off
his
phone
all
the
time
Akiwa
kwa
nyumba
When
he
is
at
home
Mulika
mwizi
(mulika
mwizi)
Shine
a
light
on
the
thief
(shine
a
light
on
the
thief)
Oh
Oh
Oh
Oh
Ohooo
Oh
Oh
Oh
Oh
Ohooo
Oh
Oh
Oh
Oh
Ohooo
Oh
Oh
Oh
Oh
Ohooo
Nimulikie
mwizi
jameni
(mulika
mwizi)
Let
me
shine
a
light
on
the
thief,
oh
my
(shine
a
light
on
the
thief)
Mulika
mwizi
nionyeshe
niambiye
ni
wapi
Shine
a
light
on
the
thief
show
me
tell
me
where
he
is
Nimulikie
mwizi
Let
me
shine
a
light
on
the
thief
Mwizi
wa
mapenzi
The
thief
of
love
Mwizi
wa
mapenzi
(mulika
mwizi)
The
thief
of
love
(shine
a
light
on
the
thief)
Nani
mwizi
wa
mapenzi
(mulika
mwizi)
Who
is
the
thief
of
love
(shine
a
light
on
the
thief)
Nani
mwizi
wa
mapenzi
(mulika
mwizi)
Who
is
the
thief
of
love
(shine
a
light
on
the
thief)
Waniuwa
(aaaah)
waniumiza
(ohooo)
You
kill
me
(aaaah)
you
hurt
me
(ohooo)
Mulika
na
tochi
natazama
mbele
natazama
nyuma
mulika
mwizi
Shine
with
a
torch
I
look
ahead
I
look
behind
shine
a
light
on
the
thief
Kila
mtu
mwizi
wa
mapenzi
kila
mtu
mwizi
wa
mapenzi,
Everyone
is
a
thief
of
love
everyone
is
a
thief
of
love
Pia
mimi
mwizi
wa
mapenzi
I
am
also
a
thief
of
love
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Jean-pierre ''kidum'' Nimbona, Odile Desage
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.