Kidum - Mulika Mwizi текст песни

Текст песни Mulika Mwizi - Kidum



Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia, jua yakwamba ameguswa pahali
Sio rahisi, si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi
Hapo zamani nilidhani mwanaume
Akipoteza kazi ndio uchungu, ndio unyonge
Kumbe mapenzi ndio sumu kali,
Inayofanya mwanaume kulia, kama mtoto mtoto, kama kibogoyo,
Habembelezwi hanyamazishwi, Machozi yake inatoka ikienda tumboni
Habembelezwi hanyamazishwi
Machozi yake inatoka ikienda tumboni
Mulika mwizi, mulika na tochi, mulika
Mulika mwizi, kama kuna giza mulika
Nimulikie mwizi, nasumbuka, nataka kujua nani mwizi wa mapenzi
Kwa barua pepe kwa simu ya rununu Ujumbe
Mfupi unafutwa na sekundi tatu (sekundi tatu)
Nilimpenda baby wangu
Nikampea roho yangu
Amechukuliwa
Amenyakuliwa
Kama fulani hapa mtaani
Mwenye magari na mapesa
Amechukua baby
Ikanifanya crazy
Sibembelezwi sinyamazishwi
Machozi yangu yanatoka yakienda tumboni
Msiomboleze mnamujua huyu jamaa Kajifanya bubu wengine vipofu
Mulika mwizi nimulikie mwizi (jameni)
Nimulikie mwizi nasumbuka
Nataka kujua
Nani mwizi wa mapenzi
Nani mwizi wa mapenzi
Ukiona baby wako
Anaingia kwa bafu nasimu mkononi Huyo ni mwizi (mulika mwizi)
Ukiona mzee wako
Anazima simu kila mara
Akiwa kwa nyumba
Mulika mwizi (mulika mwizi)
Oh Oh Oh Oh Ohooo
Oh Oh Oh Oh Ohooo
Nimulikie mwizi jameni (mulika mwizi)
Mulika mwizi nionyeshe niambiye ni wapi
Nimulikie mwizi
Mwizi wa mapenzi
Mwizi wa mapenzi (mulika mwizi)
Nani mwizi wa mapenzi (mulika mwizi)
Nani mwizi wa mapenzi (mulika mwizi)
Waniuwa (aaaah) waniumiza (ohooo)
Mulika na tochi natazama mbele natazama nyuma mulika mwizi
Kila mtu mwizi wa mapenzi kila mtu mwizi wa mapenzi,
Pia mimi mwizi wa mapenzi



Авторы: Jean-pierre ''kidum'' Nimbona, Odile Desage


Kidum - Hali Na Mali
Альбом Hali Na Mali
дата релиза
01-03-2014


Еще альбомы
Исполнитель Kidum, альбом Abatovyi
2019
Исполнитель Kidum, альбом Nipe Nguvu
2018
Исполнитель Kidum, альбом Nidate
2018
Исполнитель Kidum, альбом Hadi Kifo
2018
Исполнитель Kidum, альбом Ishano
2006
Исполнитель Kidum, альбом Ishano
2004
Исполнитель Kidum, альбом Yaramenje
2000
все альбомы


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.