King Kaka - Kichinjio текст песни

Текст песни Kichinjio - King Kaka



Unafanya nini
Yoo
Unajua wasee wamekuwa wakitake my kindness for weakness sana
Buda hamnijui niko
Wanasema niko juu
Ka kamba ya kujinyonga
Chokosh na glue kwa hizi streets me kinyonga
Me ndo referee na bado utanipata kwa mechi
Chocha ka Adebayor na footworks za Messi
Hizo list zenyu sijui one two three vigeti
Oya pulse walini.
Wekini hiyo pia kwa gazeti
Una mapunchline me nna matowerline mameliline
Ndani ya KQ KLM
Fikeni safe na Mololine
Tuko na promoter huku tunakungoja ucurtainraise
Mr tall, dark, chocolate
Madame nawarame
Elimu nusu sawa bure
Msaani enda shule
Oldboy nabuy sahani ndo nyi mkule
Msijali kuna wasaani wako tu ivo
Ata wapewe tender nitabaki one wakue zero
Huyu Rabbit sio hiphop nilimwona akidance kwa video na Sudi
Meanwhile niko na C.E.Os nasign contracts na suti
Endeleni kubonga talk is cheap
Bei ilipanda juzi namake brown ka smokie
Mnakula nyasi ka mbuzi
Nilianza zamani
Kama album ya Iceprince
Wadame wanani tamaani
Sorry nyi expenses
When it comes to my money
Niko na experience
So Moi alichoma ivory
Uhunye drugs kwa ocean
Obako alichoma picha
Me nachoma musicians
Hawa ma newcomers wanaona ni right wanitaje
We pata maretweets ndo ngoma itambe
Nitajeni ntawapea views
Ata me ningejitaja
Wanaona napewa deals wanaanza kukaza rasa
Sazile mnaandika kwa choo za konjo nani was here
Unless wamepaka rangi
Nitafteni Kamiti na Inda
Career zao ziko on hold
Ka mshuto ya meeting
Nawairobber version ya John Kiriamiti
Hatushindani na ka mnataka tushinde
I mean me ushinda kwa billboard kwa bank na kwa TV
Una ngoma moja mdundo
Update your CV
Nko na ngomma na Wyclef, produced by Avicii
Na huwezi itwa king ata ubuy my kiti
Zinaitwa basics za business
Napanga rappers kwa hitlist
Na bado mnaendelea kutake my kindness for weakness
Mkinoina in public ka ngotha mjifiche
Unless uko na lowcut
Nawapea mauppercut
Na bado nastay fresh kama nyanya ngware market
Hauna kiswahili labda ulipe poko
Uko ushago ni nguvu
Huku tao ni akili
Na ngoma za Kenya
Huku mjini haziskizwi
Mna videos mbaya
Mnashare nione tiza
Buda me hubonga na ghost ya E-Sir
Na mwache kunibite
Me sitaki
Me ni mstraight sio homo
Unless ni female emcees
Quick recovery to my girl Wangeci
Nilicoachiwa na Bobby Ogola
Who else Mourinho
Hizo ngoma mnatoa haziezi itwa El Nino
Mungu anisamehe kwa vile me ni kichwa ngumu
Naomba watoi wangu wasikue watundu
Nabeba deed, flag, torch na map ya eastlando
Kupendwa adi bongo ka mtoto wa Dando
Walenje ka kinde zimesundwa kwa koti
Addicted to doz
Supper ni ugali na noti
Mindset ya Chandaria
Na njaa ya Bill Gates
Niko na mafans wanaeza lipa 6 times kwa gate
Boss tumia akili
Wachana na ndoo
Nawastop kuendelea
Kanjo tuko ndom
Big up to Mrs Ndero
Easich ilinilea
K-South, K-Shaka Cleppto endelea
Kabla nikuje kwa hii TV, radio zenu nlikula ndula
Nani ananilinda
Oh papa shirandula
Na ndoto niko nazo zinaeza extend adi mchana
Bila upepo ngoma zinaspread ka mtama
Nawapea K.O ya mwisho ka Robert Wangila
Endeni mnireport ka Robert Nagila
Unadhani tuko in the same boat
Niko na life jacket
Na nilipa tax
Boss hauko kwa my bracket
Big up to my pirates
Kwa kuspread my song
Siku hizi top artist
Niko ndani ka thong
Oya B.A King Kaka niko bie
Leo Professor Jay
Kesho collabo na Sarkodie
Schedule yangu tight
Uliza my P.A
Mistari niko nazo top striker EA
UG pale capital
Rwanda TZ
Wacha niachie hapo kizee
So next time mkiamua kubonga matope
Make sure kunanyesha
Ama nyi wenyewe mnanyesha
Ntaenda Studio tofauti
Nasi hapa pacho ama Mike
Na usitume WhatsApp
Si unajua tuko wapi
Na tuko tu pacho kwani boss iko nini
King Kaka



Авторы: Kennedy Otieno Ombima


King Kaka - Legend of Kaka
Альбом Legend of Kaka
дата релиза
20-01-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.