Lady Jaydee - Mwambie Ukweli текст песни

Текст песни Mwambie Ukweli - Lady Jaydee



Uh sema nae ah aah
Ukae nae mmh mmh
Uh sema nae ah aah
Utete nae mmh mhh
Unacho kitu hautaki kusema
Kwa kuogopa kumuumiza
Leo unaficha, kesho atatoka
Atakutana nayo
Ee mzazi fungua macho
Na ufungue moyo
Umwambie eeh, uokoe maisha yake
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Oh zingatia hali halisi, umwambie ukweli
Jukumu lako kama mzazi, sema nae waziwazi
Vishawishi vipo vingi
Hebu mjengee msingi
Umwambie eh eh, uokoe maisha yake
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Uh sema nae ah aah
Ukae nae mmh mmh
Uh sema nae ah aah
Utete nae mmh mhh
Sema nae (uh sema nae)
Ongea nae (ah aah)
Kaa nae (ukae nae)
Umweelezee akuelewe (mhh mmh)
Sema nae (uh sema nae)
Ongea nae (ah aah)
Teta nae (utete nae)
Kwa sauti ya upole (mmh mhh)
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Nachotaka mwambie ukweli wala usimfiche
Kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake
Uh mwambie




Lady Jaydee - Mwambie Ukweli
Альбом Mwambie Ukweli
дата релиза
10-06-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.