Текст и перевод песни Lady Jaydee - Siri Yangu
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Nakuambia,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Kwa
kuwa
wewe
ni
wangu
tena
mshikaji
siku
nyingi
Because
you've
been
mine
and
my
confidant
for
many
years
Nakueleza,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Inayohusu
maisha
yangu
inayosumbua
moyo
wangu
Concerning
my
life
that
troubles
my
heart
Tega
sikio
kwa
makini
nikueleze
Listen
carefully
as
I
tell
you
Hakuna
tamu
penzi
kama
la
milele
There's
no
love
as
sweet
as
eternal
love
Muda
unaenda
mwenzenu
mi
nagundua
The
years
keep
passing,
my
friend,
I'm
realizing
Moyoni
mwangu
katu
halitopungua
It
will
never
fade
in
my
heart
Nimeumizwa
mara
nyingi
nakumbuka
I've
been
hurt
many
times,
I
remember
Kuna
hatua
ilifika
mi
nikajuta
There
was
a
point
where
I
regretted
Lakini
sasa
'na
imani
yupo
wa
kumpa
But
now
I
have
faith,
there's
someone
to
give
it
to
Ninachohitaji
ni
muda
aweze
tokea
All
I
need
is
time
for
him
to
emerge
Siwezi
sema
kuwa
sitopenda
tena
I
can't
say
that
I'll
never
love
again
Kwani
nitakuwa
naidhulumu
yangu
nafsi
For
that
would
be
unfair
to
myself
Moyoni
najua
ninalo
penzi
la
milele
In
my
heart,
I
know
I
have
eternal
love
Na
halitokwisha
nakwambia
labda
wa
kumpa
asizaliwe
And
it
will
never
end,
I
tell
you,
unless
the
one
to
give
it
to
is
never
born
Nakuambia,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Kwa
kuwa
wewe
ni
wangu
tena
mshikaji
siku
nyingi
Because
you've
been
mine
and
my
confidant
for
many
years
Nakueleza,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Inayohusu
maisha
yangu
inayosumbua
moyo
wangu
Concerning
my
life
that
troubles
my
heart
Kuna
aliyeniomba
nimpatie
pumziko
There
was
someone
who
asked
me
for
a
break
Kwa
madai
kuwa
alichoshwa
huko
atokako
Claiming
that
he
was
tired
of
where
he
came
from
Niliyempenda
nilimwambia
nakupenda
The
one
I
loved,
I
told
him
I
love
you
Nililia
machozi
kwa
yeyote
aliyenitenda
I
shed
tears
for
anyone
who
wronged
me
Aliyenichosha
nilimwambia
waweza
kwenda
To
the
one
who
wearied
me,
I
told
him
you
can
go
Kuna
aliyenifanya
mapenzi
yakanitatiza
There
was
someone
who
made
love
complicated
for
me
Niliyemkosea
niliona
umuhimu
wake
The
one
I
wronged,
I
saw
his
importance
Nasisitiza
kuwa
'na
penzi
la
milele
I
emphasize
that
I
have
eternal
love
Moyo
wanituma
wan'ambia
kuwa
na
subira
My
heart
tells
me
to
be
patient
Mimi
nasema
sitoimba
tena
nalia
I
say
I
will
not
sing
anymore,
I
cry
Iliyobaki
ni
kusema
nimekubali
What
remains
is
to
say
that
I
have
accepted
Sitokaa
tena
kulia
mimi
na
mawazo
I
will
no
longer
sit
and
cry
with
my
thoughts
Nakuambia,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Kwa
kuwa
wewe
ni
wangu
tena
mshikaji
siku
nyingi
Because
you've
been
mine
and
my
confidant
for
many
years
Nakueleza,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Inayohusu
maisha
yangu
inayosumbua
moyo
wangu
Concerning
my
life
that
troubles
my
heart
Unaweza
toa
pendo
lako
kwa
furaha
You
can
give
your
love
with
joy
Kumbe
moyoni
umejijazia
karaha
Meanwhile,
you
fill
your
heart
with
bitterness
Hutakiwi
juta
kwani
katu
hutojua
You
shouldn't
regret
it,
because
you'll
never
know
Unayempenda
yeye
atakuzingua
The
one
you
love
will
cheat
on
you
Mwisho
wa
yote
ikawa
ni
matatizo
The
end
result
is
nothing
but
trouble
Yanayopelekea
kuwa
na
mengi
mawazo
Which
leads
to
having
many
thoughts
Unachotakiwa,
binti,
usiusemee
moyo
What
you
should
do,
girl,
is
not
to
talk
your
heart
out
Kwani
hutojua
umpendaye
naye
akupenda
hivyo
hivyo
Because
you
will
not
know
if
the
one
you
love
loves
you
the
same
way
Niliwahi
kumwimbia
mpenzi
wangu
I
once
sang
to
my
lover
"Sema
unachotaka"
ni
wimbo
uliofuatia
"Tell
me
what
you
want"
was
the
song
that
followed
Lakini
pendo
hakuna
bali
ni
kutendwa
But
there
is
no
love,
only
pretense
Nimeamua
kuwa
komando
Binti
Machozi
I
have
decided
to
become
a
warrior,
Teary
Girl
Nakuambia,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Kwa
kuwa
wewe
ni
wangu
tena
mshikaji
siku
nyingi
Because
you've
been
mine
and
my
confidant
for
many
years
Nakueleza,
aah
siri
yangu
I'm
telling
you,
oh
my
secret
Inayohusu
maisha
yangu
inayosumbua
moyo
wangu
Concerning
my
life
that
troubles
my
heart
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Lady Jaydee
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.