Leiva - Lala текст песни

Текст песни Lala - Leiva




Hani Kama utachoka
Uone wataka ondoka
Nishike mkono enda nami
Nitunzie wangu moyo
Usiniache dakika
Hilo penzi la moto niongenze mimi
Baaaby
Kwa nini una nuna nuna
Niambie oooh!! my love
Niamini
Mwingine wa pembeni sina
Haani wangu
You're the only one
Kidole changu baby
Hakikuwa na pete
Uka ja wewe
Ukanivisha mimi
Na moyo wangu
Uiisha na upweke
Mpenzi wangu
Ukaniamini
Vumilia shida zinapita
Subiria nami nitafika
Basi sikia moyo unakwita
Usi je kimbia utaniliza
Oooh mama!
Lala mpenzi lala
Lala usiwaze lala
Lala mimi makuenzi lala
Lala kifuani Julia
Lala mpenzi lala
Lala usiwaze lala
Lala mimi makuenzi lala
Lala kifuani Julia
Nye semeni maneno
Sinwanchi habibi wangu
Nina macho ya raha
Hayaoni kasoro
Usiskize vineno
Ukaniho fu na vimada
Domo la raha
Silagi viporo
Baaby Jabasam!
Usinikoseshe hamu
Make-up Nyinyi m jipake
Yeye natural beauty
Afu mtoto ni mtamu
Anapendeza hata aki jam
Hata a jipake mate
Jamani bado beauty
Vumilia shida zinapita
Subiria nami nitafika
Basi sikia moyo unakwita
Usi je kimbia utaniliza
Oooh mama!
Lala mpenzi lala
Lala usiwaze lala
Lala mimi makuenzi lala
Lala kifuani Julia
Lala mpenzi lala
Lala usiwaze lala
Lala mimi makuenzi lala
Lala kifuani Julia



Авторы: Justine Baron Mainye



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.