Текст песни Nia Yangu - Linah
Kama
mama
anavyompenda
mwana
toka
tumboni
Nami
ndivyo
nilikupenda
tangu
zamani
Moyo
uliniuma
pale
ulipoweka
donda
Nafsi
ilisononeka
uku
ikisemaa
Moyo
uliniuma
pale
uliponiongopea
Nafsi
ilisononeka
uku
ikisemaa
Kamwe
sitopenda
maishani
na
dunia
Wewe
ubaki
peke
yako
na
mimi
kivyangu
Nia
yangu
sikwaze
Kwenye
moyo
wangu
unitoke
Ili
moyo
upoe
Donda
la
moyo
lipone
Nia
yangu
si
mbaya
Najinusuru
mapema
Akijikwaa
mmoja
Nami
wa
nyuma
kujikinga
Nia
yangu
sikwaze
Kwenye
moyo
wangu
unitoke
Ili
moyo
upoe
Donda
la
moyo
lipone
Nia
yangu
si
mbaya
Najinusuru
mapema
Akijikwaa
mmoja
Nami
wa
nyuma
kujikinga
Ulipokuja
kunishinda
kama
mi
mwandani
Mwenye
nzuri
tabia
uzuri
wa
sura
na
busara
pia
Kukupenda
nilijisumbua
Kumpenda
asiependeka
Moyo
wangu
naomba
wachie
upumue
Kukupenda
nilijisumbua
Kumpenda
asiependeka
Moyo
wangu
naomba
wachie
upumue
Nia
yangu
sikwaze
Kwenye
moyo
wangu
unitoke
Ili
moyo
upoe
Donda
la
moyo
lipone
Nia
yangu
si
mbaya
Najinusuru
mapema
Akijikwaa
mmoja
Nami
wa
nyuma
kujikinga
Nia
yangu
sikwaze
Kwenye
moyo
wangu
unitoke
Ili
moyo
upoe
Donda
la
moyo
lipone
Nia
yangu
si
mbaya
Najinusuru
mapema
Akijikwaa
mmoja
Nami
wa
nyuma
kujikinga
Nia
yako
unilize
Moyo
wangu
wangu
uutese
daily
Kosa
lako
unanigeuzia
mie
Nia
yako
unilize
Moyo
wangu
wangu
uutese
daily
Kosa
lako
unanigeuzia
mie
Nimekushtukiaa
Unaniongopea
wewe
Kosa
lako
unanigeuzia
mie
Nimekushtukiaa
Unaniongopea
wewe
Kosa
lako
unanigeuzia
mie
Nia
yangu
sikwaze
Kwenye
moyo
wangu
unitoke
Ili
moyo
upoe
Na
Donda
la
moyo
lipone
Nia
yangu
si
mbaya
Najinusuru
mapema
Akijikwaa
mmoja
Nami
wa
nyuma
kujikinga
Альбом
Ole Thembalami
1 Nakupenda
2 Angalau
3 Atatamani
4 Najua
5 Unanipa Tabu
6 Atatamani - Remix
7 Bora Nikimbie
8 Fitina
9 Tumetoka Mbali
10 Linah Ole Thembelami
11 Nia Yangu
12 Ole Thembalami
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.